Nape aanzishe haraka uchunguzi wa sakata la uvamizi Clouds Media

Nape aanzishe haraka uchunguzi wa sakata la uvamizi Clouds Media

Kama kawaida tunaanzia tulipoishia wakati uke kawaida Nape hua habakizi kiporo; naomba sasa aanzishe uchunguzi wa majambazi waliovamia clouds media na silaha za kivita haraka. Maana ile ingesababisha mauaji ya waandishi wa habari ingekuaje?

Katika sakata lile sisi wananchi wala hatukuridhika kabisa ile inaenda kinyume na katiba yetu lakini pia kinyume na haki za binadamu.

Uchunguzi ufanyike ili kama kuna wenye hatia basi wafikishwe mahakamani wakajibu jinai zao kikubwa haki itendeke.

Lazima mfuate kauli ya Rais alisema tutendewe haki kwahiyo wasaidizi wa Rais lazima mtutendee haki sisi wananchi wake.
Unawashwa kwenye tundu moja wapo? Hii inatusaidia vipi sisi wananchi kulipa deni la trillion 10 lililokopwa ndani ya miezi 9? Au hii inatusaidia nini sisi watz?
 
Maisha tunaambiwa ishi ukijua kuna kesho. Kesho ina mambo mengi sana. Inawezekana jana ulilala ukilia, kesho ukaamka unacheka and vice versa
 
Hayo ndio maendeleo mnayo tuma viongozi wenu siyo. Je, akifuatilia yana faida gani kwa jamii mmesahau huko bei ya kuunganishiwa umeme mijini imepanda, ajira hakuna,n.k Harafu baada ya kuomba maendeleo unaomba uchunguzi ambao hauna faida.
Waliosema jinai haishi hawakukosea my Lady.
 
Tatizo mnamjaza sana upepo Nape, Anaweza akapotezea.
 
Cloud wenyewe ndio wanajua kilicho fanyika na wamebaini ukweli na hawataki swala ilo liende mahakanani.
 
Akianza mambo ya reverse hata fika kokote. Dunia ya Leo ni ubunifu na kusonga mbele. Nape anajua hilo.
Kuhusu ubunifu kwenye wizara hilo tutashughulika nalo, ila yule jamaa kumtia adabu kama alivyokuwa anawafanyia wenzie hilo sio swala la kuulizia
 
Kama kawaida tunaanzia tulipoishia wakati uke kawaida Nape hua habakizi kiporo; naomba sasa aanzishe uchunguzi wa majambazi waliovamia clouds media na silaha za kivita haraka. Maana ile ingesababisha mauaji ya waandishi wa habari ingekuaje?

Katika sakata lile sisi wananchi wala hatukuridhika kabisa ile inaenda kinyume na katiba yetu lakini pia kinyume na haki za binadamu.

Uchunguzi ufanyike ili kama kuna wenye hatia basi wafikishwe mahakamani wakajibu jinai zao kikubwa haki itendeke.

Lazima mfuate kauli ya Rais alisema tutendewe haki kwahiyo wasaidizi wa Rais lazima mtutendee haki sisi wananchi wake.
Jinai huwa haifi, lakini aoneshe Ukomavu kwa kutokufukua makaburi.
 
Unawashwa kwenye tundu moja wapo? Hii inatusaidia vipi sisi wananchi kulipa deni la trillion 10 lililokopwa ndani ya miezi 9? Au hii inatusaidia nini sisi watz?
Unapata faida gan kuongea uongo kima wewe??
Tril 10 zilikopwa lin??
 
Humjui Nape vizuri, jamaa hanaga mambo ya visasi he is a God fearing person, labda kwa yule aliyemtolea bastola!
 
Unapata faida gan kuongea uongo kima wewe??
Tril 10 zilikopwa lin??
Deni limekuwa kwa trillion 10 ndani ya miezi 9, limeongezekaje? Trillion 2 za Covid 19, na dollar billion3 (trillion 8), jumla trillion ngapi?
 
Lazima wanyooshwe wapumbavu nyie hamuwez kufanya ujinga Kama ule uachwe salama
Kwahiyo Nape kapewa wizara ya kunyoosha watu? Au kuwa kwake waziri kuna uhusiano gani na uwezo wa kunyoosha watu?
 
Back
Top Bottom