Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Kwenda Chato au kanda ya ziwa? Kanda ya ziwa au chato ndiyo nchi gani hyo? Kwa hyo unamtishia asiende Chato wala kanda ya ziwa?Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??
Chato kuna nini?Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo ...
Unataka kutuaminisha kuwa Magufuli alikuwa rais wa Chato na kanda ya ziwa pekee?Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo...
Mbona hueleweki? Kafanya nini?Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??
Naona wachangiaji wengi mko kodhabiki zaidi.Jamaa kaongea kweli sema tatizo lipo katika uwasilishaji wake.....
"Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo"Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??
Nyanda kalalage bhoziko wingelaga....Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??
Kwann VIONGOZI mnapanda CHUKI Kwa wananchi kiasi hiki?Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??
Yanazidi kuaminisha watu kwamba yule mwenzao walimnaniii, si unakumbka siku ya Mazishi Mkubwa wa Genge lao alianza kujihisi kwamba hakuwa na ugomvi na Marehemuhaya mambo mama anayalea.
labda yanampa burudani.
Acha dictator asemwe ma ameumiza wengiNape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??
Eehh!! Ishia kumshambulia huyo mmoja. Umeambiwa kateuliwa kuwasemea watu wa kanda ya ziwa?? Ni uchuro basi umuhusu yeye tuUnataka kutuaminisha kuwa Magufuli alikuwa rais wa Chato na kanda ya ziwa pekee?
Nafikiri watu wa kanda ya ziwa mna ukabila uliovuka mipaka.
Tenganisheni majukumu ya kitaifa na ukabila
MTU KESHA KUFA UNA KUWA MFUASI WAKE ILI IWEJE?Jamaa kaongea kweli sema tatizo lipo katika uwasilishaji wake...
Ila kweli Nape ajitafakari...asiwe na Mihemko kupitiliza.Akumbuke aliwahi kwenda Ikulu kuomba msamaha na kukiri JPM ni kama mzazi kwake, kweli walisamehana.
Sasa leo bado analo la Moyon na kuropoka akisahau JPM bado anawafuasi kweli mpaka sasa.
Ita mchafua hii ajirekebishe.
Mm nafikiri huyu hana hadhi ya kuwa Wazir kabisa.Ndio maana wanamtafutia Wizara ya habari ambayo hata darasa la saba anaweza kuisimamia.Huyu hana kitu kichwani .Hawezi kupewa Wizara yeyote ya maana.Kikwete aliwahi kusema,"Huyu Mwenezi wangu anaweza kukurupuka na lolote"Yaan kwa ufupi ni Zero brain.Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??