Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Siyo walisameheana JPM alimsamehe .kijasho kama.chote leo Hangaya kambeba na mafisadi wenzake anajimwambafy kumnanga. Nawasubiri kwenye campain waendelee kumnanga waone kama kivuli chake hakitawarudisha jalalani .Jamaa kaongea kweli sema tatizo lipo katika uwasilishaji wake...
Ila kweli Nape ajitafakari...asiwe na Mihemko kupitiliza.Akumbuke aliwahi kwenda Ikulu kuomba msamaha na kukiri JPM ni kama mzazi kwake, kweli walisamehana.
Sasa leo bado analo la Moyon na kuropoka akisahau JPM bado anawafuasi kweli mpaka sasa.
Ita mchafua hii ajirekebishe.