Nape ajitafakari kama kuna haja ya kuendelea kuwa waziri, kwenda Chato na kwenda kanda ya ziwa

Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?
Nape hana muda mrefu atarehemika ni suala la muda tu
 
Yanazidi kuaminisha watu kwamba yule mwenzao walimnaniii, si unakumbka siku ya Mazishi Mkubwa wa Genge lao alianza kujihisi kwamba hakuwa na ugomvi na Marehemu
Mkuu acha hizo... Basi Mkuu wa genge alikuwa anaviziwa..... Basi akaamua aingie kazini kujiokoa.... Bila hivyo asingekuwepo kutokana na Hasidi yule wa visasi...
 
Ati atakayepata kura ni yule atakayetembea kwenye track ya nani? Mtakaa sana! Mpige kura msipige Rais wa nchi atapatikana na ataingiza nchi nzima.
Broo...
Acha sisi maskin tusotee maana hakuna namnaa...
Sasa hatujui chochote kusu Almas dhahabu bandari... Ila tusharidhika na nchiyetu JPM alikuwa anatujuza mambo kama haya...
Now tuta mmis sanaa mzee wetu
 
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?
Kwani kafanya kosa gani?? Mbona hamkusikitika kipindi kile mwendazake alivyouchuna baada ya kutishiwa maisha na bastola?? Mbona hamkumwambia mwendazake ajitafakari kwenda Lindi au mtama baada ya waziri wake kutishiwa !!! Acheni hizo bana
 
Kwani amefanyaje mbona mada ina kishazi tegemezi peke yake?
 
Ati atakayepata kura ni yule atakayetembea kwenye track ya nani? Mtakaa sana! Mpige kura msipige Rais wa nchi atapatikana na ataingiza nchi nzima.

Ati atakayepata kura ni yule atakayetembea kwenye track ya nani? Mtakaa sana! Mpige kura msipige Rais wa nchi atapatikana na ataingiza nchi nzima.
Kwamba tumchague au tusimchague lazima apite!!

Kama mambo Yako Ivo, SANDUKU la KURA Lina kaz Gani?

Unaonaje waliopo wawe Wafalme na Malkia wateue tu sasa wanaona wanafaa sie tupige makofi?
 
Kama unaamini sanduku la kura ndo inakupaga Rais pole yako.
 
Jay alisema "Wanatangaza AMANI huku wameficha mapanga''.

Yaani Kila uchaguzi muibe na mje kututambia!!!!😠😠😠😠

Mwaka Ule HAPATAKUWA na UCHAGUZI, Tuandike KATIBA mpya kwanza. Ndo utajua nani Hasa BOSS kati ya wananchi na Watawala.
 
Jamaa kaongea kweli sema tatizo lipo katika uwasilishaji wake...

Ila kweli Nape ajitafakari...asiwe na Mihemko kupitiliza.Akumbuke aliwahi kwenda Ikulu kuomba msamaha na kukiri JPM ni kama mzazi kwake, kweli walisamehana.

Sasa leo bado analo la Moyon na kuropoka akisahau JPM bado anawafuasi kweli mpaka sasa.

Ita mchafua hii ajirekebishe.
Amekosea sana yale maneno,ila kwasababu sisiemu inawenyewe yuko salama ila kiuhalisia Kwa matamshi yake ilitakiwa aitwe kikao Cha maadili.

Mleta Uzi umekosea kuweka Kanda hapo japo hoja yako si ya kupuuzwa Kwa maneno aliyotamka Nape
 
Jay alisema "Wanatangaza AMANI huku wameficha mapanga''.

Yaani Kila uchaguzi muibe na mje kututambia!!!!😠😠😠😠

Mwaka Ule HAPATAKUWA na UCHAGUZI, Tuandike KATIBA mpya kwanza. Ndo utajua nani Hasa BOSS kati ya wananchi na Watawala.
Hahahahaha .....mm ni kati ya watu walioacha kupanga foleni katika uchaguzi mkuu baada ya kuona napoteza mda tu. Kama inafikia hatua watu wanatembea na mabegi yenye makaratasi ya kupigia kura mgongoni, unapanga foleni ili iweje?
 
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?

Eti kwenda Chato, kwani Chato kuna kipi cha maana ambacho Nape anakihitaji sana? Na hata akitaka kwenda ataenda na hamtafanya chochote. Na huko kanda ya ziwa anaenda muda wowote tena kwa gharama za serikali, na hakuna lolote mtafanya. Mnaamini dhalimu alikuwa anakubalika sana, kama alikuwa anakubalika hivyo alipora uchaguzi kwa nini?
 
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?
Mwenyekiti msitaafu yupi? Kama Magufuli ujue hatarudi ili umuite msitaafu.
 
Huyo jamaa anatakiwa apewe into na ikibidi aombe radhi na akiachiwa bila kuonywa ataendelea na huo ujinga.lakini akumbuke yeye sio jiwe eti hawezi kufa na magufuri hakufa kwa mapenzi yake Bali ni mapenzi ya mungu..hata yeye mwenyewe akumbuke hapendwi na watu wengi mbona.yanini kila kukicha iwe kwenye majukwaa ni mipasho inayo muhusu marehemu.kumbuka mungu hajalibiwi na umauti huwa haudhihakiwi.
 
Wanasiasa ni wasahaulifu sana. Itakuja kipindi nae ataropokwa kama hivi, ataanza kulia.

Huu mchezo ndivyo ulivyo.
 
Mtu ukiwa mwema watu watakukumbuka kwa wema na ukiwa mbaya pia utakumbukwa kwa ubaya wako, acheni watu waseme wapate kupona mioyo yao.
 
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?
Nape ni mtu Mwema Sana anasema ukweli daima,Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi ktk Taifa.Kama hupendi kauli za NMN ungemkemea huyo unayemtetea,Chato na kanda ya ziwa ni Sehemu ya Tz huna mamlaka ya kumzuia NMN kufika huko,.
 
Back
Top Bottom