KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Utake tu wewe mwenyewe kuweka utata juu ya kifo hicho kwa sababu zako unazojua mwenyewe.kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka
Nape hana muda mrefu atarehemika ni suala la muda tuNape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?
Mkuu acha hizo... Basi Mkuu wa genge alikuwa anaviziwa..... Basi akaamua aingie kazini kujiokoa.... Bila hivyo asingekuwepo kutokana na Hasidi yule wa visasi...Yanazidi kuaminisha watu kwamba yule mwenzao walimnaniii, si unakumbka siku ya Mazishi Mkubwa wa Genge lao alianza kujihisi kwamba hakuwa na ugomvi na Marehemu
Umekosea jina la babu yetu muona mbali: Sagilo MagenaKwenda Chato au kanda ya ziwa? Kanda ya ziwa au chato ndiyo nchi gani hyo? Kwa hyo unamtishia asiende Chato wala kanda ya ziwa?
Broo...Ati atakayepata kura ni yule atakayetembea kwenye track ya nani? Mtakaa sana! Mpige kura msipige Rais wa nchi atapatikana na ataingiza nchi nzima.
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?
Kwani kafanya kosa gani?? Mbona hamkusikitika kipindi kile mwendazake alivyouchuna baada ya kutishiwa maisha na bastola?? Mbona hamkumwambia mwendazake ajitafakari kwenda Lindi au mtama baada ya waziri wake kutishiwa !!! Acheni hizo banaNape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?
Ati atakayepata kura ni yule atakayetembea kwenye track ya nani? Mtakaa sana! Mpige kura msipige Rais wa nchi atapatikana na ataingiza nchi nzima.
Kwamba tumchague au tusimchague lazima apite!!Ati atakayepata kura ni yule atakayetembea kwenye track ya nani? Mtakaa sana! Mpige kura msipige Rais wa nchi atapatikana na ataingiza nchi nzima.
Kama unaamini sanduku la kura ndo inakupaga Rais pole yako.Kwamba tumchague au tusimchague lazima apite!!
Kama mambo Yako Ivo, SANDUKU la KURA Lina kaz Gani?
Unaonaje waliopo wawe Wafalme na Malkia wateue tu sasa wanaona wanafaa sie tupige makofi?
Jay alisema "Wanatangaza AMANI huku wameficha mapanga''.Kama unaamini sanduku la kura ndo inakupaga Rais pole yako.
Amekosea sana yale maneno,ila kwasababu sisiemu inawenyewe yuko salama ila kiuhalisia Kwa matamshi yake ilitakiwa aitwe kikao Cha maadili.Jamaa kaongea kweli sema tatizo lipo katika uwasilishaji wake...
Ila kweli Nape ajitafakari...asiwe na Mihemko kupitiliza.Akumbuke aliwahi kwenda Ikulu kuomba msamaha na kukiri JPM ni kama mzazi kwake, kweli walisamehana.
Sasa leo bado analo la Moyon na kuropoka akisahau JPM bado anawafuasi kweli mpaka sasa.
Ita mchafua hii ajirekebishe.
Hahahahaha .....mm ni kati ya watu walioacha kupanga foleni katika uchaguzi mkuu baada ya kuona napoteza mda tu. Kama inafikia hatua watu wanatembea na mabegi yenye makaratasi ya kupigia kura mgongoni, unapanga foleni ili iweje?Jay alisema "Wanatangaza AMANI huku wameficha mapanga''.
Yaani Kila uchaguzi muibe na mje kututambia!!!!π π π π
Mwaka Ule HAPATAKUWA na UCHAGUZI, Tuandike KATIBA mpya kwanza. Ndo utajua nani Hasa BOSS kati ya wananchi na Watawala.
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?
Mwenyekiti msitaafu yupi? Kama Magufuli ujue hatarudi ili umuite msitaafu.Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?
Nape ni mtu Mwema Sana anasema ukweli daima,Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi ktk Taifa.Kama hupendi kauli za NMN ungemkemea huyo unayemtetea,Chato na kanda ya ziwa ni Sehemu ya Tz huna mamlaka ya kumzuia NMN kufika huko,.Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?