Jamaa kaongea kweli sema tatizo lipo katika uwasilishaji wake...
Ila kweli Nape ajitafakari...asiwe na Mihemko kupitiliza.Akumbuke aliwahi kwenda Ikulu kuomba msamaha na kukiri JPM ni kama mzazi kwake, kweli walisamehana.
Sasa leo bado analo la Moyon na kuropoka akisahau JPM bado anawafuasi kweli mpaka sasa.
Ita mchafua hii ajirekebishe.