Nape alichoongea ni ukweli mchungu; atabaki kuwa shujaa daima

Sio sahihi kusema Nape ni shujaa kwa Yale aliyoyasema kwa Byabato ile ilikuwa siasa tu.Angesema rasmi kama Waziri,au kwenye vikao rasmi tungejua kamaanisha.tujifunze !"ukiwa unaongea ongea sana Kuna siku utaongea Kila ambacho hakisemwi"
Lakini kaongea ukweli tupu. Sasa kwanini atumbuliwe kwa kusema ukweli? Wewe unadhani adhabu aliyopewa inastahili?
 
Rudi shuleni ukasome vizuri historia ya Tanganyika mkuu
 
Kweli kabisa mkuu. Tatizo maCCM yanapenda kuficha mambo.
 
Hii nchi inaongozwa na mijitu mbumbumbu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…