Nape amenusa badiliko la baraza la mawaziri. Ameamua kutumia saikolojia ili tusishangae akienguliwa.

wengine hao ndio walimuweka kitini inabidi tu aishi nao. Sasa washamblackmail sio rahisi kihivyo. 17 march ina mengi.
 
Wataacha kumdharau wakati ana wa address kama wanangu?
Mwanangu Nape, mwanangu January au we mwanangu Mwigulu?
Nao wanamwita "mama" huku mioyoni mwao wanajisemea "wewe ni mama yetu wapi na wapi bana"
aaahhhhhhaaaaaaahhhh, duuuhh
 
Kwani huyo unaemsikitiki ana nini cha maana anachokifanya hapo kitini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…