Salam Wakuu,
Tumemuona Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano akimkemea na kumwagia shombo Lissu ndani ya Bunge kua Lissu amefanya ubaguzi kumuita Rais Samia mzanzibari ambae anatawala Tanganyika.
Naomba tusome kidogo katiba ya Zanzibar
Tumsikilize Rais Samia mwenyewe anajitambulidhaje?!!
Your browser is not able to display this video.
Nape na FISIEMU wengine, oops- CCM wengine tunasubiria tamko lao dhidi ya Mbunge aliewataka Watanganyika waende Zanzibar kwa kutumia passport,huo sio ubaguzi?!
NB-;
Tazama na ajira za kazi za serikali huko Zanzibar masharti wanayoweka,kama sio ubaguzi ni nini?!! Huku Bara wanabaguliwa kwenye ajira?!!
Kwa kua kuna watu wamempa madaraka makubwa, pengine kushinda uwezo wake basi hatuna budi kumkemea na kumtaka aombe radhi na ajitafajari,kukaa kimya ni kuunga mkono impunity yake