Nape anahusika vipi na Matukio ya Oktoba 29 hadi Tume kukutana naye? Au aliandamana pia?

Nape anahusika vipi na Matukio ya Oktoba 29 hadi Tume kukutana naye? Au aliandamana pia?

Waenezi wote hata kama ni chawa kindakindaki ama waliwahi kuwa wajiandae kuuimba ulewimbo pendwa wa aaacha waisome namba eeehhh,kibano mbele kwa mbeleee.Hii ni sera mpya ya chukua chako mapema.Mwendoni kugawa urithi kwa wanagamilia.Kwani maisha yenyewe mafupiii acha mimi nitafune vyoootwee!
🤣🤣🤣
 
Hii chuki yako kwa Kanisa itakurudi.

KANISA KATOLIKI MIMI LITANIFANYA KITU GANI??

LAANA YA KANISA MAY BE ITAMPATA MWANAKONDOO...MIMI USTADHI NA KANISA WAPI NA WAPI??

UMESAHAU KUWA KANISA LIMESHAWAHI SHIRIKK GENOCIDE RWANDA.??
 
KANISA KATOLIKI MIMI LITANIFANYA KITU GANI??

LAANA YA KANISA MAY BE ITAMPATA MWANAKONDOO...MIMI USTADHI NA KANISA WAPI NA WAPI??

UMESAHAU KUWA KANISA LIMESHAWAHI SHIRIKK GENOCIDE RWANDA.??
Mkuu sikuzuii kutoa maoni yako ila kuwa na huruma kwa nchi yetu basi
 
Hakuna tume hapo
Danganya toto tu!! Wanapeana ulaji hawa mabwege. People's response kwa hii tume ni very poor hivyo inabidi wawe wanawaita watu wanaojua hawawezi kukataa mwito wao.
 
Back
Top Bottom