Nape anahusika vipi na Matukio ya Oktoba 29 hadi Tume kukutana naye? Au aliandamana pia?

Nape anahusika vipi na Matukio ya Oktoba 29 hadi Tume kukutana naye? Au aliandamana pia?

Mlio wauwa hapo tarehe 30 na kuwazika kwenye makaburi ya pamoja waliandania wapi?
Wale walipigwa risasi chooni je walikuwa wanaandamana?
Acha ujinga wako
Wauwaji wakubwa nyie
Angalizo: Kaandamana siyo kosa la kuuawa. Huyu mjinga anadhani mamia ya viajana wadogo kabisa waliouwa, mambo yataisha kwa kulisingizia kanisa. Hata kama kanisa lingewatuma waandamane, bado haihalalishi kuua.
 
Damu inanena watajua hawajui
 
TUME ISISAHAU KULIHOJI NA KANISA KATOLIKI...MAANA WANASEMA WANADAI VIJANA WAO WAELEZE KINAGA UBAGA KUWA WALIWATUMA WANGAPI WAINGIE ROAD??
Mkuu chuki dhidi ya tec itakuua, wale wamewazidi kwa kila kitu hasa akili!.
Nyie komaeni na ugaidi tu!.
 
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 27, 2026, imekutana na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye.

Mkutano huo wa Tume na Nape umefanyika katika Ukumbi wa Tanganyika uliopo katika ofisi za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini, Dar es Salaam.

Miongoni mwa yaliyojadiliwa ni pamoja na namna matukio hayo yalivyoanza, athari zake kwa watu, mali na miundombinu pia ushauri wa namna ya kuondokana na matukio hayo.

Tume inaendelea kukutana na makundi mbalimbali wakiwemo waathirika wa Matukio hayo ikiwa na lengo la kupata kiini cha chanzo cha matukio hayo na kuyawasilisha kwa ajili ya hatua zaidi.

View attachment 3535145

View attachment 3538265View attachment 3538266View attachment 3538267View attachment 3538268
Tume inahoji waliohusika tu?..wote waliohojiwa kabla ya nape ni wahusika!?..hiyo picha ya avatar inaeleza kila kitu,nyi akili huwa hamna
 
Sawa sawa mkuu Mungu atupe uzima , Mungu wetu huwa anachelewa ila majibu hajawahi yakosa
Tume inahoji waliohusika tu?..wote waliohojiwa kabla ya nape ni wahusika!?..hiyo picha ya avatar inaeleza kila kitu,nyi akili huwa hamna
 
Back
Top Bottom