ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Unajuaje kama wao ndio labda wanamlinda huyo mwanamke kwa maslahi yao ya USA?Akiamua kumuomba Mange.....sijui diplomasia ikoje.....amlete hapa Tanzania .....ila wana nyingi nyingi sanaaa......US wanaweza assign mtu ....akalipwa mbaaaliiii akamtafuta Mange poison au shoot and kill
Mbona anakujaga sana tu baada ya kurejeshewa passSawa sawa aji mix now aonee
ni vizuri kumshauri waziri achape kazi ya kuhakikisha mawasiliano yanafika maeneo mengi nchini kwa urahisi πRais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni.
Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea.
Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia?
Kama hakuna basi ata kauli kuonesha serikali haipendezwi, mbona wengine wakitukana uwa mnakemea? Kigugumuzi kinatoka wapi?
Mtu anatukana Rais wa nchi na anaendesha app yake ambayo malipo yanafanyika kwa Mpesa, tigopesa airtelmoney na anatamba kabisa hawezi fanywa lolote. Uku sio kuujumiwa Rais?
Machawa wapo wapi Rais anatukanwa? Si uwa mnawatumia kwenye vita zingine kwa nini sasa hivi wapo kimya?
Kuna kitu hakipo sawa na ni wazi rais anafanyiwa mchezo mchafu na watu wanaoigiza ni royal kwake.
hakuna haja ya kuwazuia watu kutukana,ni uhuru waoRais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni.
Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea.
Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia?
Kama hakuna basi ata kauli kuonesha serikali haipendezwi, mbona wengine wakitukana uwa mnakemea? Kigugumuzi kinatoka wapi?
Mtu anatukana Rais wa nchi na anaendesha app yake ambayo malipo yanafanyika kwa Mpesa, tigopesa airtelmoney na anatamba kabisa hawezi fanywa lolote. Uku sio kuujumiwa Rais?
Machawa wapo wapi Rais anatukanwa? Si uwa mnawatumia kwenye vita zingine kwa nini sasa hivi wapo kimya?
Kuna kitu hakipo sawa na ni wazi rais anafanyiwa mchezo mchafu na watu wanaoigiza ni royal kwake.
Usifikiri Us ni shithole country kama zile alizoainisha Trump! πRAIS SAMIA AONGEEE NA JOE BIDEN PERSONALLY ILI WAMUEXRADITE MANGE , MATUSI YA NGUONI HAYAVUMILIKI
Hayo matusi yenyewe yapo wapi?RAIS SAMIA AONGEEE NA JOE BIDEN PERSONALLY ILI WAMUEXRADITE MANGE , MATUSI YA NGUONI HAYAVUMILIKI
Kutukanwa au kuambiwa ukweli, hata hivyo kutukanwa kwa mtawala wa kifalme ni sawa tu.Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni.
Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea.
Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia?
Kama hakuna basi ata kauli kuonesha serikali haipendezwi, mbona wengine wakitukana uwa mnakemea? Kigugumuzi kinatoka wapi?
Mtu anatukana Rais wa nchi na anaendesha app yake ambayo malipo yanafanyika kwa Mpesa, tigopesa airtelmoney na anatamba kabisa hawezi fanywa lolote. Uku sio kuujumiwa Rais?
Machawa wapo wapi Rais anatukanwa? Si uwa mnawatumia kwenye vita zingine kwa nini sasa hivi wapo kimya?
Kuna kitu hakipo sawa na ni wazi rais anafanyiwa mchezo mchafu na watu wanaoigiza ni royal kwake.
Joe mwenyewe huwa anatukanwa sana tu na wanaompiga na hana muda wa kuwasaka awashughulikie.Marekan si kama tanzania mkuu joe haez fanya ujinga mdogomdogo kama uwazavo