Nape anatakiwa ajiuzulu nafasi ya uwaziri wa mawasiliano kwa kushindwa kumlinda Rais dhidi ya matusi

Akiamua kumuomba Mange.....sijui diplomasia ikoje.....amlete hapa Tanzania .....ila wana nyingi nyingi sanaaa......US wanaweza assign mtu ....akalipwa mbaaaliiii akamtafuta Mange poison au shoot and kill
Unajuaje kama wao ndio labda wanamlinda huyo mwanamke kwa maslahi yao ya USA?
 
Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni.

Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea.

Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia?
Kama hakuna basi ata kauli kuonesha serikali haipendezwi, mbona wengine wakitukana uwa mnakemea? Kigugumuzi kinatoka wapi?

Mtu anatukana Rais wa nchi na anaendesha app yake ambayo malipo yanafanyika kwa Mpesa, tigopesa airtelmoney na anatamba kabisa hawezi fanywa lolote. Uku sio kuujumiwa Rais?

Machawa wapo wapi Rais anatukanwa? Si uwa mnawatumia kwenye vita zingine kwa nini sasa hivi wapo kimya?

Kuna kitu hakipo sawa na ni wazi rais anafanyiwa mchezo mchafu na watu wanaoigiza ni royal kwake.
ni vizuri kumshauri waziri achape kazi ya kuhakikisha mawasiliano yanafika maeneo mengi nchini kwa urahisi 🐒

suala la maudhui yanayorushwa mitandaoni, nadhani ni jukumu la taasisi nyingine, na wao waweze kufanya juuhudi zaidi za kumshauri waziri namna ya kukabiliana nazo, huku wakiripoti katika vitengo mahususi zile maudhui zisizo na maadili kwa hatua zaidi za kisheria 🐒

otherwise,
viongozi wote mnafanya kazi nzuri sana za kuwatumikia wananchi, licha ya changamoto, dosari na kasoro za hapa na pale 🐒

well done and keep it up 🌹
 
Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni.

Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea.

Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia?
Kama hakuna basi ata kauli kuonesha serikali haipendezwi, mbona wengine wakitukana uwa mnakemea? Kigugumuzi kinatoka wapi?

Mtu anatukana Rais wa nchi na anaendesha app yake ambayo malipo yanafanyika kwa Mpesa, tigopesa airtelmoney na anatamba kabisa hawezi fanywa lolote. Uku sio kuujumiwa Rais?

Machawa wapo wapi Rais anatukanwa? Si uwa mnawatumia kwenye vita zingine kwa nini sasa hivi wapo kimya?

Kuna kitu hakipo sawa na ni wazi rais anafanyiwa mchezo mchafu na watu wanaoigiza ni royal kwake.
hakuna haja ya kuwazuia watu kutukana,ni uhuru wao
 
Matusi ya Mange hayavumiliki, its too much hata kama unakosoa, ile imezidi. Kungekuwa na namna ya kumrudisha Tanzania ili aongee matusi yake akiwa humu.

She's too much, hata wanaomfollow nao wana matatizo tu.
 
Napendekeza watanzania tuandamane kushinikiza hao mawaziri wanaomtukana Rais wafutwe kazi mara moja.
 
Kama walifungia kipindi cha Polepole wanashindwaje kumsema mange, waliita hadi wazee wamseme bashiru
 
Hao watukanaji wapo kwenye circle gani ili wakamatwe?
 
Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni.

Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea.

Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia?
Kama hakuna basi ata kauli kuonesha serikali haipendezwi, mbona wengine wakitukana uwa mnakemea? Kigugumuzi kinatoka wapi?

Mtu anatukana Rais wa nchi na anaendesha app yake ambayo malipo yanafanyika kwa Mpesa, tigopesa airtelmoney na anatamba kabisa hawezi fanywa lolote. Uku sio kuujumiwa Rais?

Machawa wapo wapi Rais anatukanwa? Si uwa mnawatumia kwenye vita zingine kwa nini sasa hivi wapo kimya?

Kuna kitu hakipo sawa na ni wazi rais anafanyiwa mchezo mchafu na watu wanaoigiza ni royal kwake.
Kutukanwa au kuambiwa ukweli, hata hivyo kutukanwa kwa mtawala wa kifalme ni sawa tu.

Tubadili katiba tumpungizie madaraka ili asitukanwe
 
Marekan si kama tanzania mkuu joe haez fanya ujinga mdogomdogo kama uwazavo
Joe mwenyewe huwa anatukanwa sana tu na wanaompiga na hana muda wa kuwasaka awashughulikie.

Atakuwa mjinga akijiingiza kushughulikia kidada kilichomtukana raia wa kigeni 😂😂
 
Mange Kimambi yuko Ulaya huko wanako hubiri uhuru, matusi wanatukanwa wote.

App ya Mange haifungwi hovyo ile...hata ungekua wewe ndo nape usingefanya lolote zaidi ya vitisho
 
Makonda kasema Mwigulu Nchemba ndiye anamlipa Mange Kimambi mamilioni kumtukana Rais wetu.
 
Back
Top Bottom