Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Nasikia polepole ni bonge ya bilionea[emoji16]Majizi yanaibuka kwa kasi sana hakuna nchi ambayo haina deni
Hii ndio CCM Ina democrasia ndani yake sio Ile saccos ya chadema mwenyekiti alikuwa anawakata mishahara na posho wabunge wa wake na ni marufuku kuhoji na mpaka sasa hazijulikani zilienda wapi hizo pesaSafari hii lazima CCM wagawane mbao, chama kimepasuka ndani kwa ndani, kila mmoja anamsaka mchawi wake.
Kumekucha
Watavuana sana nguo maana kwa sasa machozi ya wananchi ndiyo yamezidi kudondoka.Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri....
Hii hali inayojijenga miongoni mwa wafuasi wa watawala, ya kutokutaka utendaji kazi wa Rais uhojiwe . Ni upumbavu .Wachunguzeni wote Wanaolalamika KWA Sasa baada ya mwendazake kuondoka alafu rudini KWA historia zao za nyuma,mtapata picha halisi kwann wanalalamika sasa
Nakiona chama kikibakia na mpini tu yaani ile nyundo na jembe lazima vinang'olewaSafari hii lazima CCM wagawane mbao, chama kimepasuka ndani kwa ndani, kila mmoja anamsaka mchawi wake.
Nape asisahau waliokuwa viongozi waandamizi wa hiyo serikali anayoilaumu ndio hawa waliopo kwenye serikali mpya anayojipendekeza kwao...
1.5 trillion mlizikwapuaHuyu na ndugu zake nyumbu wa Chadema ni pete na kidole ,wote wanafanya siasa za maigizo huku wakiwaibia waTZ.
Awamu ya tano ilizibiti mijizi yote,sa hivi imeanza kuamka na kupiga kelele hoja mfu.Uzuri aliyepo ni mlengo wao ndo Mana wanapayukwa tu
Tanzania ya sasa hakuna kiongozi yeyote mwenye uthubutu wa kuwachia ngazi maana wote wanapigania matumbo yao.Nape asisahau waliokuwa viongozi waandamizi wa hiyo serikali anayoilaumu ndio hawa waliopo kwenye serikali mpya anayojipendekeza kwao...