Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

Deni la Taifa limefikia Trillions 77 hii ni kutoka katika ripoti ya BoT.

Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri...
 
Huyu na ndugu zake nyumbu wa Chadema ni pete na kidole ,wote wanafanya siasa za maigizo huku wakiwaibia waTZ.

Awamu ya tano ilizibiti mijizi yote,sa hivi imeanza kuamka na kupiga kelele hoja mfu.Uzuri aliyepo ni mlengo wao ndo Mana wanapayukwa tu
Ngosha alikaribia kuifilisi Nchi
 
Hivi kumbe ile miradi sio fedha za ndani 😀😀😀😀
 
"Wapinzani walitukawiza Sana kuleta maendeleo" ilisikika minong'ono ya mamluki waeneza ujinga vichwan mwa wadanganyika.

Walivuruga chaguzi mbalimbali kwa tamaa za Madaraka, ili wajilimbikizie ufisadi watakavyo...
Siyo MAENDELEO bali ni MAENDEREEEOOOO
 
Wachunguzeni wote Wanaolalamika KWA Sasa baada ya mwendazake kuondoka alafu rudini KWA historia zao za nyuma,mtapata picha halisi kwann wanalalamika sasa
Pamoja na kwamba Nape ni mnafiki, lakini kasema ukweli kuwa dhalimu alikuwa anakopa kiboya ili kusaka sifa za kijinga. Uchunguzi ufanyike ili ifahamike dhalimu alipeleka wapi hela na genge lake la sukuma gang.
 
Hii ndio CCM Ina democrasia ndani yake sio Ile saccos ya chadema mwenyekiti alikuwa anawakata mishahara na posho wabunge wa wake na ni marufuku kuhoji na mpaka sasa hazijulikani zilienda wapi hizo pesa
Masikini Bashiru reeooo yupo hoiiiiii
 
Safari hii lazima CCM wagawane mbao, chama kimepasuka ndani kwa ndani, kila mmoja anamsaka mchawi wake.
Which is healthy and good for the common mwananchi. Ni katika mazingira kama haya opposition inatakiwa ku-seize opportunity.
 
Nalishauri Bunge liweze kujipambanua Mapema na kuweka control and checks kwenye issue ya matumizi ya trillion 1.3, utaratibu wa Matumizi (value for money), kuna DC mmoja kasema utaratibu wa manunuzi sio Muhimu sana na watu wapuyange kama sandakarawe!

Mifano hatarishi ipo wazi ambapo juzi kuna waziri wa elimu juzi alikuwa anakagua ujenzi usiokuwa na Viwango ambapo inaonyesha wataalamu wote eitha hawajashirikishwa au ndio utaratibu mpya wa upigaji baadae wanetu wakaangukiwe na haya Majengo.


 
Back
Top Bottom