Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

Ni muda sasa Kama taifa kuweka itikadi ya vyama vyetu pembeni na kuangalia maslahi mapana ya taifa letu mambo ya kutetea hata ujinga ni uzuzu ufisadi ni ufisadi tu huwezi kuutetea.
 
PCCB ndio walitakiwa wakuambie alipeleka wapi pesa, maana waliagizwa na yule kiongozi muovu aliyeko kuzimu ili wamkomoe.
Meku tuliza akili, kuzimu hata babz yako ataenda tu iwe hutaki au unataka. Kama mama yako yupo hai mshukuru Mungu sana, lakini kwenda kuzimu ni suala la muda tu unless kama una hoja nyingine ya msingi.
 
Mzilankende
Tuchape Kazi Ndugu Zangu
Baadaye Ulaya Tutawauzia Nguo Tulizovaa Sisi
Bwana Bure Hayupo
Eeeh kabhisa mutama!
1f605.png
 
Sawa mkopo ni mkubwa lakini pimeni na ukubwa wa miradi aliyotekeleza katika kipindi kifupi cha miaka 5 ndio sisi na huyo Nape tuanze kupiga kelele, kama hamkuridhika hata na kifo chake nendeni mkalifikue kaburi lake mfanye mnavyotaka lakini sio kwa chuki hizi za wazi kwa kiongozi aliyejaribu kutupatia majibu ya mswali yetu na kuacha alama pamoja na notes za kusoma ili kufaulu huko mbele. kazi aliyofanya raisi Magufuli akitokea mgombea yeyote wa uraisi from any political party akajua kumtumia Magufuli hatopata tabu ktk kampeni lakini atakaye jaribu kumpinga Magufuli hata sasa ataona kitakacho mtokea ktk mbio za uraisi, ubunge, udiwani na hata uenyekiti wa mtaa! Hayati Magufuli alimudu kujipambanua kwa wananchi wa nchi hii, mkitaka kulingana nae fanyeni zaidi ktk yale mazuri aliyoyafanya ktk uhai wake lkn sio maneno matupu! Mimi ndugu yenu mlevi wa ukweli!
 
Panapokosekana uwazi kila fununu inabeba elements za ukweli!
*Awamu ya 5 ilimong'onyoa misingi yote ya uwazi na serikali kusimamiwa na kuhojiwa matumizi yake!
*Awamu ya 5 pesa ziliporwa na kutumika kwa utashi wa MTU mmoja!
*Awamu ya 5 ilikuwa ya kidhalimu sana! Haikujali maslahi za watu hasa wafanyakazi na wafanyabiashara!
*Awamu ya 5 ilidhani maendeleo ya vitu ni muhimu kuliko maendeleo ya watu!!

Inauma kusikia kumbe pamoja na yote bado ilikuwa inakopa fedha na kuingiza kwenye matumizi yasiyochagiza mzunguko wa fedha!
 
Sawa mkopo ni mkubwa lakini pimeni na ukubwa wa miradi aliyotekeleza katika kipindi kifupi cha miaka 5 ndio sisi na huyo Nape tuanze kupiga kelele, kama hamkuridhika hata na kifo chake nendeni mkalifikue kaburi lake mfanye mnavyotaka lakini sio kwa chuki hizi za wazi kwa kiongozi aliyejaribu kutupatia majibu ya mswali yetu na kuacha alama pamoja na notes za kusoma ili kufaulu huko mbele. kazi aliyofanya raisi Magufuli akitokea mgombea yeyote wa uraisi from any political party akajua kumtumia Magufuli hatopata tabu ktk kampeni lakini atakaye jaribu kumpinga Magufuli hata sasa ataona kitakacho mtokea ktk mbio za uraisi, ubunge, udiwani na hata uenyekiti wa mtaa! Hayati Magufuli alimudu kujipambanua kwa wananchi wa nchi hii, mkitaka kulingana nae fanyeni zaidi ktk yale mazuri aliyoyafanya ktk uhai wake lkn sio maneno matupu! Mimi ndugu yenu mlevi wa ukweli!
Mkuu unapotaka watoto wako wakusifu kwa kuwajengea nyumba nzuri (na katika kufanya hivyo unafifisha mahitaji yao mengine) ili uwe salama ni lazima uwazi na ushirikishwaji uwe mkubwa sana!
Kumbuka... hawataishi maisha yao yote kwa kula hiyo nyumba!
Sasa chukua hiyo picha itandaze kwa Tanzania nzima. Je, wataishi miaka yote kwa kula hiyo miradi jumuishi? Mwananchi wa kule

Kaziramimba ananufaikaje na flyovers za Dar huku yeye akishindwa kupata ajira, mlo wa siku au maendeleo binafsi!?
Kama huelewi bado basi wewe ni wa ajabu ajabu!
 
Aliyrkuwa makamu wa Rais wa awamu ya tano ndiye Rais sasa, na ndio Mwenyekiti wao wa chama. Nadhani atakuwa na majibu
 
Sawa mkopo ni mkubwa lakini pimeni na ukubwa wa miradi aliyotekeleza katika kipindi kifupi cha miaka 5 ndio sisi na huyo Nape tuanze kupiga kelele, kama hamkuridhika hata na kifo chake nendeni mkalifikue kaburi lake mfanye mnavyotaka lakini sio kwa chuki hizi za wazi kwa kiongozi aliyejaribu kutupatia majibu ya mswali yetu na kuacha alama pamoja na notes za kusoma ili kufaulu huko mbele. kazi aliyofanya raisi Magufuli akitokea mgombea yeyote wa uraisi from any political party akajua kumtumia Magufuli hatopata tabu ktk kampeni lakini atakaye jaribu kumpinga Magufuli hata sasa ataona kitakacho mtokea ktk mbio za uraisi, ubunge, udiwani na hata uenyekiti wa mtaa! Hayati Magufuli alimudu kujipambanua kwa wananchi wa nchi hii, mkitaka kulingana nae fanyeni zaidi ktk yale mazuri aliyoyafanya ktk uhai wake lkn sio maneno matupu! Mimi ndugu yenu mlevi wa ukweli!
Ndg Abdulaziz na wenzako tupeni maelezo ya kuridhisha ya awali hilo,

1. Kwa nini Rais alikuwa anatudanganya kuwa hawezi kukopa kwa mabeberu mkopo wa riba ya kibiashara?

2. Kwa nini alikuwa anatudanganya kuwa tunatumia hela zetu za ndani akijua kuwa ni uongo?

Maswali haya yanaibua uwezekano wa kuwepo kwa ufisadi mkubwa maana uongo juu ndio ulikuwa kinga yake ya kuhoji wingi wa fedha zinazokopwa na matumizi yake.

Ama kuhusu wingi wa miradi, mingi bado haijakamilika ukilinganisha na wingi wa fedha zilizokopwa, tulitarajia sasa ile miradi mikubwa iwe inakaribia kuisha, kumbe la hasha ndo kwanza asubuhi.
 
Naona ujamwelewa Nape wewe, kwenye mamiradi mikubwa hiyo ndipo kwenye upigaji mkubwa, na tulisha sema siku nyingi tu hawamu ya tano itaongoza kwa ufisadi wa kutisha, haya sasa kazi ndio imeanza,

Mdogo mdogo tutaelewana tu.
Nampongeza Nape kwa kujitoa Muhanga. Imagine mpaka CAG alipiga kikumbo bila sababu ya msingi. Zile 1.5 Trillion mpaka leo hakuna anayejua zilifanya kazi gani.

Maza alipoingia madarakani aliagiza uchunguzi Bank kuu kuanzia January mpaka March, report mpaka leo haijawekwa public.... There is something wrong under the carpet.
 
Nape asisahau waliokuwa viongozi waandamizi wa hiyo serikali anayoilaumu ndio hawa waliopo kwenye serikali mpya anayojipendekeza kwao ili apate teuzi.

Na msilete zile sababu za kukariri kwamba wasingeweza kumzuia Magufuli kwasababu alikuwa katili, kama waliona tatizo lipo na halifanyiwi kazi wote wangetakiwa kujiuzulu ili kuonesha kutokubaliana nae, lakini kukaa kwao kimya maana yake walimuunga mkono.

Anyway, nimemkumbuka Nape siku ile aliyoenda pale ikulu baada ya kuomba msamaha, alipopiga picha na Magufuli akiwa ameweka mikono yake karibu na paji la uso kama vile anamsujudia mwanadamu yule anayemuita leo mwizi.
Binadamu hasa kwenye siasa si wakuaminika Sana they are there only for their personal games kwa walio wengi

Hoja ya Mh nape ni nzuri isipokuwa inatuongeza mashaka tulio nje miaka mitano iliyopita alikuwa ndani ya bunge nimatumaini yangu Kama anatimiza ipasavyo majukumu yake alipaswa afahamu fedha ngapi imekopwa na imekwenda wapi???

Ingefaa zaidi angerefer even Mika 20 iliyopita ambayo yeye mwenye mashaka hakuwepo bungeni , hii ingepunguza maswali mengi nje ya msimamo wa hoja yake

Mashaka aliyoonesha mh nape ni makubwa zaidi kwa serikali yake mwenyewe lakini pia kwa chama chake yeye mwenyewe ambacho ni chama tawala na yeye amepata kutumika kwa nafasi mbalimbali

Zaidi saana madeni tuliyo nayo ni moja ya fedha zilizosaidia Sana kutufikisha hapa tulipo leo ambalo hatukuwepo awali
 
Back
Top Bottom