Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Ni muda sasa Kama taifa kuweka itikadi ya vyama vyetu pembeni na kuangalia maslahi mapana ya taifa letu mambo ya kutetea hata ujinga ni uzuzu ufisadi ni ufisadi tu huwezi kuutetea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meku tuliza akili, kuzimu hata babz yako ataenda tu iwe hutaki au unataka. Kama mama yako yupo hai mshukuru Mungu sana, lakini kwenda kuzimu ni suala la muda tu unless kama una hoja nyingine ya msingi.PCCB ndio walitakiwa wakuambie alipeleka wapi pesa, maana waliagizwa na yule kiongozi muovu aliyeko kuzimu ili wamkomoe.
Ndiyo Ukweli WenyeweNi muda sasa Kama taifa kuweka itikadi ya vyama vyetu pembeni na kuangalia maslahi mapana ya taifa letu mambo ya kutetea hata ujinga ni uzuzu ufisadi ni ufisadi tu huwezi kuutetea.
Eeeh kabhisa mutama!Mzilankende
Tuchape Kazi Ndugu Zangu
Baadaye Ulaya Tutawauzia Nguo Tulizovaa Sisi
Bwana Bure Hayupo
Mwakeye MtamaEeeh kabhisa mutama!
![]()
Mkuu unapotaka watoto wako wakusifu kwa kuwajengea nyumba nzuri (na katika kufanya hivyo unafifisha mahitaji yao mengine) ili uwe salama ni lazima uwazi na ushirikishwaji uwe mkubwa sana!Sawa mkopo ni mkubwa lakini pimeni na ukubwa wa miradi aliyotekeleza katika kipindi kifupi cha miaka 5 ndio sisi na huyo Nape tuanze kupiga kelele, kama hamkuridhika hata na kifo chake nendeni mkalifikue kaburi lake mfanye mnavyotaka lakini sio kwa chuki hizi za wazi kwa kiongozi aliyejaribu kutupatia majibu ya mswali yetu na kuacha alama pamoja na notes za kusoma ili kufaulu huko mbele. kazi aliyofanya raisi Magufuli akitokea mgombea yeyote wa uraisi from any political party akajua kumtumia Magufuli hatopata tabu ktk kampeni lakini atakaye jaribu kumpinga Magufuli hata sasa ataona kitakacho mtokea ktk mbio za uraisi, ubunge, udiwani na hata uenyekiti wa mtaa! Hayati Magufuli alimudu kujipambanua kwa wananchi wa nchi hii, mkitaka kulingana nae fanyeni zaidi ktk yale mazuri aliyoyafanya ktk uhai wake lkn sio maneno matupu! Mimi ndugu yenu mlevi wa ukweli!
Ndg Abdulaziz na wenzako tupeni maelezo ya kuridhisha ya awali hilo,Sawa mkopo ni mkubwa lakini pimeni na ukubwa wa miradi aliyotekeleza katika kipindi kifupi cha miaka 5 ndio sisi na huyo Nape tuanze kupiga kelele, kama hamkuridhika hata na kifo chake nendeni mkalifikue kaburi lake mfanye mnavyotaka lakini sio kwa chuki hizi za wazi kwa kiongozi aliyejaribu kutupatia majibu ya mswali yetu na kuacha alama pamoja na notes za kusoma ili kufaulu huko mbele. kazi aliyofanya raisi Magufuli akitokea mgombea yeyote wa uraisi from any political party akajua kumtumia Magufuli hatopata tabu ktk kampeni lakini atakaye jaribu kumpinga Magufuli hata sasa ataona kitakacho mtokea ktk mbio za uraisi, ubunge, udiwani na hata uenyekiti wa mtaa! Hayati Magufuli alimudu kujipambanua kwa wananchi wa nchi hii, mkitaka kulingana nae fanyeni zaidi ktk yale mazuri aliyoyafanya ktk uhai wake lkn sio maneno matupu! Mimi ndugu yenu mlevi wa ukweli!
Nampongeza Nape kwa kujitoa Muhanga. Imagine mpaka CAG alipiga kikumbo bila sababu ya msingi. Zile 1.5 Trillion mpaka leo hakuna anayejua zilifanya kazi gani.Naona ujamwelewa Nape wewe, kwenye mamiradi mikubwa hiyo ndipo kwenye upigaji mkubwa, na tulisha sema siku nyingi tu hawamu ya tano itaongoza kwa ufisadi wa kutisha, haya sasa kazi ndio imeanza,
Mdogo mdogo tutaelewana tu.
Binadamu hasa kwenye siasa si wakuaminika Sana they are there only for their personal games kwa walio wengiNape asisahau waliokuwa viongozi waandamizi wa hiyo serikali anayoilaumu ndio hawa waliopo kwenye serikali mpya anayojipendekeza kwao ili apate teuzi.
Na msilete zile sababu za kukariri kwamba wasingeweza kumzuia Magufuli kwasababu alikuwa katili, kama waliona tatizo lipo na halifanyiwi kazi wote wangetakiwa kujiuzulu ili kuonesha kutokubaliana nae, lakini kukaa kwao kimya maana yake walimuunga mkono.
Anyway, nimemkumbuka Nape siku ile aliyoenda pale ikulu baada ya kuomba msamaha, alipopiga picha na Magufuli akiwa ameweka mikono yake karibu na paji la uso kama vile anamsujudia mwanadamu yule anayemuita leo mwizi.