Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

Usitoke nje ya mada
Tunazungumzia miaka mitano ya Magufuli amekopa trillion 20
Zimetumikaje...????
Wakati miezi sita ya mama samia kakopa trillioni 2.4 na mpaka sasa hakuna mradi wowote..maana madarasa na vituo vya afya tumeambiwa ni tozo. Ina maa ndani ya miaka 5 atakopa zaidi ya trillioni 20 huku kukiwa hakuna mradi wowote wa maana.
 
"Tembeeni vifua mberee, Tanzania ni dona kantri"
Legacy ya Mwendawazimu wamefura humu leo, Sukuma GANG wamesahau kabisa hata wao walimtukana na kumdharirisha sana Kikwete na serikali yake, na hawa kina Nape wake.
Hata jina la Sukuma GANG lilitokana na jinsi walivyo kuwa wanatukana watawala waliotangulia na kumsifia Mwendawazimu wa Chato.
 
Kama nakuelewa ila sasa kama Mkapa alikuta deni hilo la 7.4 na madeni mengi yakafutwa kwa ule mpango wa HIPC ilikuwaje ikabaki 8.4? Tusaidie kwenye mahesabu hapo manake naona hakuna usuluhisho?
Rudia kusoma
 
Wakati miezi sita ya mama samia kakopa trillioni 2.4 na mpaka sasa hakuna mradi wowote..maana madarasa na vituo vya afya tumeambiwa ni tozo. Ina maa ndani ya miaka 5 atakopa zaidi ya trillioni 20 huku kukiwa hakuna mradi wowote wa maana.
Nimeeza hapo hadi sasa Mama Samia kakopa trillion 4, wewe unasema trillion 2.4.
Muwe mnafatilia.
Trillion 2.7 zilikuwa za world Bank na trillion 1.3 ni ya IMF
 
Hakuna miradi iliyoanzishwa tu. Kila mradi ulikuwa na malengo. Yawezekana sio sasa ila kesho. Hiyo ni vision ya tanzania ijayo kama sio sasa. Ndio maana hata uzinduzi wa miradi ya maji unaambiwa una uwezo wa kuhudumia watu mill 1 ila kwa wakati huu unahudumia watu laki 4.
 
Nape ameamua kwa makusudi au kwa bahati mbaya kudanganya.
Nitamtete mkapa, mkapa hakukopa dola bilion 9. Mkapa kakopa bilion 1
Kikwete hakukopa dola bilion 7, kikwete alikopa dola Bilioni 11
 
Usitoke nje ya mada
Tunazungumzia miaka mitano ya Magufuli amekopa trillion 20
Zimetumikaje...????
Mnamatatizo sana nyie, hivi unadhani Nape hajui kwamba JPM hajakopa hizo pesa? JPM hakukopa na hakulipa, alitaka kujenga nchi kwanza, deni lenye riba linakua kama hulipi.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
mkuu kwa hiyo kipindi shilingi yetu ilipokua sawa na kenya tulikua tunaexport sana?
hatukuwa tuna export sana lakini tulishindwa kumaintain balance baada ya kukua kwa wigo wa biashara ikiwemo uuzaji wa bidhaa zetu na uagizaji wa bidhaa za nje.
Kipindi unachozumngumzia tulikuwa sawa na Kenya ama zaidi kwa swala zima la viwanda. Wakati wenzetu waliendeleza viwanda vyao sisi tuliua vya kwetu.
Ilifikia wakati mpaka majani ya chai tulikuwa tunaagizia kutoka Kenya sasa bado unajiuliza wapi kuna tatizo kwa swala zima la thamani ya pesa yetu? sisi wenyewe tumechangia kuimarisha pesa ya kenya.
 
Hata magufuli amekopa bilion 7 dollar mpaka mauti yanamkuta. Nape nimuongo.
Kakuta deni bilion 18 yeye hadi anafariki lilikuwa bilion 25.
 
Utawala wa sheria kwa kufuata misingi ya democrasia ( wengi wape na kuwatambua minority) + check and balance, accountability ,institutions imara.
Huu ndio ustaarabu(Sivilization)

Kwavile tumeamua kuishi holela bila mipango ndipo haya yanatokea huku tukibaki kurushiana mpira.

Kama ni kuchunguza ni sawa lakini haitasaidia ikiwa system itabaki ni vile vile.
 
Kumbuka hiyo miradi yote jiwe alikuwa akituambia inatekelezwa kwa fedha za ndani.
 
Wanasiasa Kuna wakati wanakuwa kama.wanamuziki,akiona hapati promo,Wala airtime Basi ataibuka na skendo ili mladi tu asikik3,mh. nape alikuwa wapi muda wote kuyahoji haya,lkn pia ,yako mengi pesa za escrow,simbion,mabilion yaliyochotwaga na baali,alikuwa madarakani pia ,hizi Mambo ziliishiwa wapi,na alifanya Nini Kama mh.pale mjengoni.watz wa Sasa sio wa kuwadanganya na cheap politics!! watz wa ss ni waelewa wakisha kuwekea a mark of no.value ,hata udanganye vp unajisumbua,bola utafute namna ya kuwaomba radhi ili at least wakuelewe!!
 
Nimeeza hapo hadi sasa Mama Samia kakopa trillion 4, wewe unasema trillion 2.4.
Muwe mnafatilia.
Trillion 2.7 zilikuwa za world Bank na trillion 1.3 ni ya IMF
Sawa mkuu kwa kunirekebisha. Kama miezi sita ni trillioni 4 basi miaka mitano sawa na trillioni 30 na ushee..
 
Kumbuka hiyo miradi yote jiwe alikuwa akituambia inatekelezwa kwa fedha za ndani.
Kwa kiasi kikubwa pesa ya ndani imehusika pia tambua mradi NHPP hakuna taasisi ilikuwa tayari kutukopesha.
 
Nawapa akili adimu nyie mataga! mnapiga sana kelele! yaani naomba tu atokee jamaa mmoja Mahili, mdiplomatic, kama mimi hivi! ni poa sana!1 sasa huyu jamaa aingie uanachama ndani ya ccm huko!!!

akiwa huko afanye umafia wa aina zoote!! apate U-Rais tu kupitia CCM! akiwa Rais azungushe utawala kadri azungushavyo aongoze awamu moja tu! ndani ya hiyo awamu apangue vinara wote mmoja baada ya mwingine!! wengine vigaggura awafunge tu!

CCM ianze wanachama wapya tena katibu mkuu wake, na top layers ya uongozi wa ccm wawe wahuni tu bodaboda! ma ntilie, wauz Bar, wanafunzi wale wabishi wa UDISM na vyuo vingine Ccm ikisha wekwa ktk hali km hii!! upinzani ni rahisi sana kupenya!

Yani kifupi huyu Rais aiuze CCM kwa stahili hii! kamwe haitakaa irudi madarakani milele! lkn viongozi wa sasa wa upinzani ni mandezi sana!! hayana strategic plan! na sisi watu vichwa wanatuweka pembeni!! hakuna afisa usalama kujipenyeza hapo!!

na kuwajua wale ni rahisi sana siku hizi!!! na kma ikitokea amegundulika tu! anadukua mipango yenu ! au kumhisi ni kifo kina muhusu!tena faster msimcheleweshe mkijua kabisa kuwa ushindi mzuri katka mapambno hutanguliwa na kafara ya damu!! lazima imwagike! Dunia nzima ndi=o ilivo!

tatizo wapinzani hamko serious! msicheke na ccm nyie! Mwenge piga marufuku ndo unawaroga huo! nchi gani Duniani zinakimbiza Mwenge! eti umurike mweee! jua halitoshi?? huko ndo mna rogewa huko!!!!?
 
Serikali makini kila wakati inawajibu wa kufanyaauditing ili kujua pesa ipi ilitumika wapi..Shida ya nape ameiletq hoja kwa njia ya kinyongo na mapambano na hayati..hapo ndo anaharibu lakini serikali inawajibika kuelezea kila mkopo ulikwenda wapi..Mafno kwa miaka 5 serikali imelipaa madeni ya trilliin 50..weka mishahara trillion 35...lakini private sector walikopa doll billion kama 5.Lakini hera ya Sgr na bwawa la rufiji na rusumo inatoka wapi..zote ni humohumo.so hoja ya nape ni sawa lakini near yake ni kuchafua waru kwa njisi alivyoipresent
 
It was through a consortium of many International banks!! I am sure of this, Mustapha Mkullo was finance Minister.

Okay, if that was the case, then, that was just a syndication loan from several banks. That is not an issuance of the bonds. Borrowing from the public.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…