Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Safi sana,hakuna ujinga kama kumsema marehemu asiyeweza kujibu hoja au kujitetea!Ya Kikwete ilikopa ngapi ?Sasa mnamuonea Magufuli kwa vile hawezi kusema tena.Wewe Nape unajiona msafi wakati ni fisadi tu.Hivi Magufuli angekuwa ni Rais mstaafu na yupo hai ungetoa hayo maoni ?.Akiwa hai nyote mlimuogopa kama Ukoma. Akiwa kafa muogopeni hivyo hivyo.Idiots.
Kwa hiyo hamuoni mpaka watu wawambieUsitoke nje ya mada
Tunazungumzia miaka mitano ya Magufuli amekopa trillion 20
Zimetumikaje...????
Achunguzwe mara mbili, wakati PCCB wanashinda mwaka jana kwenye ofisi za cdm ulikuwa jela nini? Waulize PCCB wana taarifa zote.Hata mbowe achunguzwe, zile posho na mishahara ya wabunge aliyokua anakata tujue imeenda wapi, maana hata ofisi hatuna.
mkuu pesa za mataifa ya kiarabu zinathamani kubwa akati wanaexport zaid bidhaa moja tu ya mafuta tofauti na sie tunaexport vingi, why wao wanamantain thaman za pesa zao?hatukuwa tuna export sana lakini tulishindwa kumaintain balance baada ya kukua kwa wigo wa biashara ikiwemo uuzaji wa bidhaa zetu na uagizaji wa bidhaa za nje.
Kipindi unachozumngumzia tulikuwa sawa na Kenya ama zaidi kwa swala zima la viwanda. Wakati wenzetu waliendeleza viwanda vyao sisi tuliua vya kwetu.
Ilifikia wakati mpaka majani ya chai tulikuwa tunaagizia kutoka Kenya sasa bado unajiuliza wapi kuna tatizo kwa swala zima la thamani ya pesa yetu? sisi wenyewe tumechangia kuimarisha pesa ya kenya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dhalimu wako bado anakuchapa hata baada ya kufa!
Vipi nasikia mmesusia uchaguzi mdogo,, mmesusia kwani dhalimu wemu bado yupo?
Kwanini tuanzie kwa JPM tu? Hao wengine waliokopa walitumia vipi?Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema Deni la Taifa limefikia Tsh. Trilioni 64, ambapo awamu ya tano ilikopa Dola Bilioni 9 (takribani Tsh. Trilioni 20) bila kuwa na uwazi
-
Ametaka Deni la Taifa kuchunguzwa na miradi iliyofanywa kwa mikopo katika Serikali ya Awamu ya Tano iangaliwe kama inaendana
-
Aidha, Nape ameshauri uwazi uliopo kwenye Tsh. Trilioni 1.3 za IMF alizokopa Rais Samia uendelee kwa fedha nyingine
-
nchi ngapi duniani zina import mafuta toka kwa waarabu? linganisha wewe unaexport mathalan pamba tani laki moja kwa nchi moja na muarabu anaexport lita laki moja (ni mfano tu) kwa nchi 80 tu kati ya nchi 195 zilizopo duniani, kweli mtakuwa sawa kiuchumi na thamani ya pesa zenu?mkuu pesa za mataifa ya kiarabu zinathamani kubwa akati wanaexport zaid bidhaa moja tu ya mafuta tofauti na sie tunaexport vingi, why wao wanamantain thaman za pesa zao?
Kwani si mnapumua?Dhalimu hayupo ila kaacha udhalimu huku nyuma. Hatushiriki ukhanithi, hutaki jinyonge.
Kwani si mnapumua?
Sasa itakuwaje tena kuna udhalimu?
Kwani dhalimu si amekufa?Hata wakati wa dhalimu tulipumua. Udhalimu upo maana serikali hii ni matunda ya siasa zake chafu.
Exactly, napendekeza na Nape nnauye apewe uwaziri, masalia ya mwendazake yote yapigwe chiniNi wazi Mama alikuwa naumia na zaidi hapendi yaliyo mkuta January!
Correction, Yanayoogopwa majeshi. Ufisadi wa nape hauhalalishi matumizi mabaya ya fedha ya awamu yoyote. Kama na yeye ni fisadi ashtakiwe. Makundi yanachosha sana. Idiot 2.Ya Kikwete ilikopa ngapi ?Sasa mnamuonea Magufuli kwa vile hawezi kusema tena.Wewe Nape unajiona msafi wakati ni fisadi tu.Hivi Magufuli angekuwa ni Rais mstaafu na yupo hai ungetoa hayo maoni ?.Akiwa hai nyote mlimuogopa kama Ukoma. Akiwa kafa muogopeni hivyo hivyo.Idiots.
Wewe ndio mpumbavu!Kwahiyo asiseme. Wakisema mnalalamika, wasiposema mnalalamika. Hii nchi ya kipumbavu sana
Kwaiyo ata hii Trillion 1.3 ya IMF unataka kumsingizia Magufuli...!!Mama hana matatizo.
Tatizo liko kwa mtangulizi wake.
Huu ndiyo mwanzo wa kulipua jipu la wizi wote uliofanyika, maneno maneno yamekuwa mengi na naona Nnauye kajitoa mhanga ili yajulikane.
Hii para ni ya uchawa completely!!!Aidha, Nape ameshauri uwazi uliopo kwenye Tsh. Trilioni 1.3 za IMF alizokopa Rais Samia uendelee kwa fedha nyingine
jiwe alise mwenyewe kua anakopa na hasemi anakopa wapi.Nape pia alichangia hicho kificho (japo siamini kama kiliwepo) kwa kuzuia Bunge live, kubana magazeti ambavyo vyote hivyo ni agents za uwazi; halafu anakuja kuleta unafiki hapa.
Hilo deni lililokua sana miaka mitano alipaswa adadavue ongezeko kiasi gani lilisababishwa na riba zilizotokana na mikopo iliyokopwa na Kikwete, Mkapa na Mwinyi kabla ya kumlaumu JPM.