Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Safi sana,hakuna ujinga kama kumsema marehemu asiyeweza kujibu hoja au kujitetea!Ya Kikwete ilikopa ngapi ?Sasa mnamuonea Magufuli kwa vile hawezi kusema tena.Wewe Nape unajiona msafi wakati ni fisadi tu.Hivi Magufuli angekuwa ni Rais mstaafu na yupo hai ungetoa hayo maoni ?.Akiwa hai nyote mlimuogopa kama Ukoma. Akiwa kafa muogopeni hivyo hivyo.Idiots.
Mwanaume pekee hapa nchini ni Lisu kidoogo na Membe walijaribu kukabiliana na Magufuli waziwazi. Tena Lisu lilikuwa linamtukana wazwazi kwenye Kampeini ahahahahaha
Sema baada ya Uchaguzi likakimbia ahahahahah maana angelitia finger wallah tena