Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

Hahahaha ni kama kuna vita vya kurushia maneno embu tazama uzi huu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usitoke nje ya mada
Tunazungumzia miaka mitano ya Magufuli amekopa trillion 20
Zimetumikaje...????
hahahahahahahahahaha.............

aiseehh...!!
we jamaa ni mtata sana.

kwamba unataka kujua zilikopelekwa!!
 
Tatizo la nchi hii ni KATIBA imemuumba Rais asiyehojiwa maamuzi na matendo yake. Hata huyu wa sasa atafanya madudu na tutaishia kumtukuza , badala ya Mungu wetu. Tatizo letu ni KATIBA
KATIBA haitetei wezi.
At least wananchi wafahamu fedha zilitumikaje, kama hazikutukika vizuri kna watakao chukuliwa hatua kuzitapika, kupitia tundu lolote-Magufuli.
 
Jamaa lilikua pigaji kichizi,huku linajificha nyuma ya wamachinga.

Anakopa matrilioni huko nje akija hadharani Hana aibu kabisa anasema nchi hii Ni tajiriiii saaana,sisi ni donor kantreee.
Propaganda za wanafiki walio na chuki na magufuli wamepata chaka la kuongelea
 
naunga mkono hoja.
maana Serikali lazima ijisafishe ili iwe na uhalali wa kuwabana wengine vilivyo.
Hata hivyo Serikali inabidi iwe makini sana ktk matumizi ya Fedha za umma.
kama alivyo sema Nape, Rais Samia kaonyesha Dira, kawa muwazi na mkweli ktk matumizi ya fedha za umma.
 
Mimi nashindwa kuamini kuwa Magufuli was double face.

Transparency katika manunuzi ya vitu vikubwa kama ndege za ATCL,Au ujenzi wa Airport ya Chato vilifanywa kwa usiri.

Hata kama alinunua wapinzani kwa KUUNGA JUHUDI bado pesa ya manuzi ni pesa ya mboga sio matrillioni.

Lakini Magufuli alituambia hiyo miradi mikubwa SGR,Bwawa la Nyerere ,Daraja la Busisi,Mahospitali,mabarabara tunajenga kwa pesa zetu yaani kodi zetu.

Lakini kuna wakati Magufuli alikopa kama Benki ya Dunia,European Union,Serikali za Uingereza, Marekani lakini tulionyeshwa live kwenye Luninga ya taifa.
Labda kilichomchanganya ni hizo Private Banks,lakini kwanini akope kwa usiri mwingi?
Au ndio hiyo mikopo ime mature sasa we are paying through the nose aka TOZO?
 
Wonders will never end in Tanzania.
Can this be Nape of the last parliament? Unbelievable.
 
CCM mbele kwa mbele mliipenda wenyewe,mnaipenda wenyewe,bila ccm hakuna maisha acha waisome mabaeeee ccm mbele kwa mbele.
 
Okay, if that was the case, then, that was just a syndication loan from several banks. That is not an issuance of the bonds. Borrowing from the public.
You are right eliakeem.
At stake here is how that syndicated commercial loan with its exorbitant interest was utilized? Nobody talked about the utilization of that loan , rumour has that it was stashed abroad for the benefit of the powers who were finishing their term!!!
When Zitto questioned about the syndicated loan ,he was silenced by being awarded a foreign trip!!
 
Mi naona alikopa kwa fujo,akijua ata rest in peace mapema.alikua na ubabe wa kilofa sana
 
Kwa afayayo Nape nadhani kuwa anakumbuka kuwa yataka moyo wa ujasiri.
 
Acheni aende zake watanzania hatuna shurani
 
Sijui siku hizi lakini mie nakumbuka wakati tupo form one tulikuwa tunafundishwa bookkeeping na asilimia kubwa ya wachangiaji wa jukwaa la siasa ni wazama hizo and beyond.

Utasemaje mtu kakopa kwa siri halafu uwe na record ya kwamba alikopa kiasi gani.

Utajuaje katika hiyo mikopo 40% ni madeni ya bank kama hakuna ledgers za lenders accounts.

Ni hivi ili Nape aweze kutoa hoja kama zile lazima kuna records za madeni; sasa utasemaje hiko kitu ni siri. Surely hii ni bookkeeping ya form 1 kama bado wanafundisha.

Sasa kama anataka kutuambia ni Magufuli pekee ndio alikuwa anakopa Banks alete ushahidi kwenye deni la taifa kati ya tsh 64 trillion zinazodaiwa madeni ya bank ni trillion 3.6 (ambazo sawa na 40% ya 9 trillion) ikizidi hapo ina maana Nape ni muongo madeni ya bank wote huko nyuma wamekopa.

Halafu madeni ya Magufuli for the most part ni miradi ambayo ikiisha madeni yanalipwa na taasisi zenyewe. Bwawa la Nyerere likiisha TANESCO ndio watalipa ilo deni kwenda mbele, SGR ni deni la TRC.

$1.3 billion za COVID ni deni la walipa kodi sio la taasisi yoyote. Ni la mlalahoi ndio anaenda lipa hilo deni, wabunge wenyewe awataki ata kulipa kodi stahiki.
 
Lakini mkuu mambo mengine tufumbe fumbe kulinda legacy mkuu[emoji23][emoji23]
 
Lisu alimchana Magufuli mchana kweupe na hata alipompiga risasi bado alimwambia ukweli akiwa mzima
Ndivyo inavyotakiwa. Hata humu tulimchana Magufuli akiwa hai. Huyo Nape hadi ikulu kwenda kuomba msamaha alikwenda.
 
Reactions: BAK
CCM imejaa wanafiki na wengi wao hawajui wanataka nini kuhusu maendeleo ya mama Tanzania. Anyways! Maisha ni aliyekwambia nae kaambiwa tuendelee kupata Mtori nyama tutazikuta chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…