luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hahahaha ni kama kuna vita vya kurushia maneno embu tazama uzi huu ππππ
www.jamiiforums.com
Bashiru Ally ulitakiwa uanike wazi madudu ya akina Nape CCM ona saa hii wanavyotamba utafikiri wasafi
Ukaguzi wa Mali za CCM uligundua mengi ikiwemo upigaji uliofanywa na akina Nape Nnauye Ile ripoti kuifanya Siri hamkuitendea haki nchi na wananchi Wizi wa Akina Nape ulistahili kuanikwa wazi ona Sasa akina Nape wanatamba sana utafikiri hawajawahi kuwa wezi kuibia CCM Ripoti ile itolewe hadharani