Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

Naona ujamwelewa Nape wewe, kwenye mamiradi mikubwa hiyo ndipo kwenye upigaji mkubwa, na tulisha sema siku nyingi tu hawamu ya tano itaongoza kwa ufisadi wa kutisha, haya sasa kazi ndio imeanza,

Mdogo mdogo tutaelewana tu.
 
Tunatekeleza miradi yote kwa fedha za ndani tutembee kifua mberee Tanzania ni tajiri. [emoji1787][emoji1787]

Deni nalo halifichiki kama pembe la ng'ombe [emoji3]
kwa hiyo ukienda kuchukua mkopo bank unauacha kwa ma cashier?
 
Hizi alijenga kwa pesa za Ndani. Twambieni pesa za mikopo zilifanya nini?
 
Tumeanza na Pesa kwanza. Tukimaliza hili mje mtwmabie na wale wasiojulikana nani aliwafadhili na aliwalipa nini na wako wapi.

Patamu sana hapo.

Muda ni mwalimu. Jinai haiozi
 
Taratibu tutaelewana, sasa bado wale aliowapa starehe na akawapa madeal ambayo hayakupitia procurement process watajisema wenyewe, nachojua wengine wamesharudiaha including waliozichota BOT wakati wa msiba wa magu
 
Mnamatatizo sana nyie, hivi unadhani Nape hajui kwamba JPM hajakopa hizo pesa? JPM hakukopa na hakulipa, alitaka kujenga nchi kwanza, deni lenye riba linakua kama hulipi.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Hakukopa na hivyo deni likakua zaidi kuliko waliokuwa wakikopa na hiyo ndani ya miaka 5 tu?



Huu utopolo unatoka kwa binadamu kweli?
 
Mbona Chato International Airport hamuitaji pamoja na ile Ikulu ndogo iliyokuwa inapokea Marais wa nchi jirani....!!?
 
Usisahau ujambazi aliowafanyia wafanyabiashara kwa kuiba pesa zao benki,
Unakopa pesa ndefu unawajengea watoto nyumba nzuri,lakini kila siku watoto wanakula ugari na kachumbali,hakuna nyama,Wala maziwa,
Sasa hizi ni akili au matope
 
Naona ujamwelewa Nape wewe, kwenye mamiradi mikubwa hiyo ndipo kwenye upigaji mkubwa, na tulisha sema siku nyingi tu hawamu ya tano itaongoza kwa ufisadi wa kutisha, haya sasa kazi ndio imeanza,

Mdogo mdogo tutaelewana tu.
Huyu mleta mada atakua mmoja wa wanufaika, ... sio kwa kutetea huko!
... UKOKOTOZI UENDELEE! ... mmewaonea sana wahandisi ... eti : "Engineer soma hiyoo!" huku mnaficha madudu ya kutisha! DUH!!!
 
Jamaa unapata tabu sana kupigia mbuzi gitaa, kamwe hawezi cheza.
 
Nape!!!
Vipi kuhusu kuzuia bunge live???
Maana wewe ndie ulisimama bungeni kusema watu wafanye kazi bunge halita rushwa live!!!
Nawe una takiwa uchunguzwe akili. Kama ilikuwa sawa au ulilishwa maharage??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…