Nape atofautiana na Jaji Warioba Bunge la Katiba

Nape atofautiana na Jaji Warioba Bunge la Katiba

Nape anaweza kuwa sahihi, ila inabidi ajifunze jinsi ya kuongea bila ya kuwavunjia watu heshima. Kwa mila zetu, majibu ya Nape yamejaa dharau na sio sahihi kutolewa kwa mtu aliyemzidi umri.

Inaweza kuwa kweli; lakini kauli zisizo za ukweli zenye kutumia umri kama kigezo cha ukweli zinahitaji kupingwa wazi na bila kubishiwa. Sijaona mahali popote - at least kwenye hii ripoti - ambapo Nape amemjibu vibaya Warioba. As a matter of fact, nadhani amemjibu kwa heshima kubwa kumbukusha tu kuwa Bunge la Katiba ni chombo chenye mamlaka yake na Tume haiwezi kuiamulia nini ifanye au nini isifanye.

Ni matokeo ya sheria ambayo wao wenyewe wameipitisha. Sijui Nape angemjibu vipi zaidi ya hivi.
 
Nape Nnauye anaweza kutoa maoni yake kama jaji Warioba anavyoweza kutoa maoni yake. Akiwa msemaji wa CCM ana haki ya kusema anachosema, lakini kilichowasilishwa kwenye rasimu ni maoni ya wananchi wa Tanzania. Yanatakiwa kuheshimiwa na sio kubadilishwa kwa matakwa ya CCM.

Bila shaka kuwa CCM haifurahii maoni ya watanzania kuhusu muungano na muundo wake, hasa yale ambayo hayalingani na sera za CCM. Na ukweli ni kuwa CCM ya zamani sura yake inaonekana kwenye msimamo wake kuhusu muungano na muundo wake.

Kama hata hivyo vikibadilika basi CCM itakuwa irrelevant kabisa.
 
Nape anaweza kuwa sahihi, ila inabidi ajifunze jinsi ya kuongea bila ya kuwavunjia watu heshima. Kwa mila zetu, majibu ya Nape yamejaa dharau na sio sahihi kutolewa kwa mtu aliyemzidi umri.

Kwanza inabidi ujiheshimu mwenyewe kabla ya kutaka watu wakuheshimu. Ikiwa unafanya mambo ukiwa na hidden motives, unatarajia nini hata ukiwa na umri mkubwa. Age aren't nothing but a number, what matters is upstairs. Nape yuko sahihi.
 
Huyo Bwana maslahi ya Taifa kwake ni kuona dini yake inawekwa kuwa ni kundi maalum kwenye Katiba ya nchi, hayo ndiyo maslahi ya taifa kwake

Na wewe maslahi ya Taifa kwako ni nini?. Memorundum of Understanding. Au ndio unalisikia leo hilo neno?

Inaweza kuwa kweli; lakini kauli zisizo za ukweli zenye kutumia umri kama kigezo cha ukweli zinahitaji kupingwa wazi na bila kubishiwa. Sijaona mahali popote - at least kwenye hii ripoti - ambapo Nape amemjibu vibaya Warioba. As a matter of fact, nadhani amemjibu kwa heshima kubwa kumbukusha tu kuwa Bunge la Katiba ni chombo chenye mamlaka yake na Tume haiwezi kuiamulia nini ifanye au nini isifanye.

Ni matokeo ya sheria ambayo wao wenyewe wameipitisha. Sijui Nape angemjibu vipi zaidi ya hivi.

Kama ambavyo pia Bunge la Katiba halina mamlaka pia ya kubadilisha matakwa ya Wananchi ambayo yamewasilishwa na tume ya Katiba katika Rasimu ya pili. Wameruhusiwa kuboresha tu, na siyo kubadilisha! Hivyo kwa kuwa Wananchi wamependekeza serikali3 kwa mfano, ni wajibu wa Bunge la Katiba kuboresha hizo serikali3 ziweje, na Kamwe si kubadilisha, bali ni KUBORESHA.
 
Wanaotaka serikali tatu wanasukumwa na uroho wa madaraka.

Serikali tatu wananchi ndo tunazitaka, kukiwa na serikali mbili basi ni serikali ya Tanganyika na serikali ya mapinduzi Zanzibar period
 
Warioba anaongozwa na Udini tu hana lolote. Kama kweli ni mkerekwetwa wa Maslahi ya Nchi, aeleze kwa nini amedharau Maoni ya Waislamu walio wengi katika nchi hii. Nape amemkumbusha Warioba yale yale alio yasema Raisi, kua Bunge la katiba linamamlaka makubwa zaidi ya Tume ya Warioba, hivyo inaweza kubadilisha na kurekebisha chochote. Hapa hatuongelei uchama, tunaongolea maslahi ya Taifa.

Wakupime akili ww sio bure, mwend....zm weee!
 
Nimekuwa nikishangaa kama mwananchama wa chama cha mapinduzi,katika swala la katiba mpya,Viongozi wa chama wamekua mbele kung'ang'ania tena majukwaani kuwa Msimamo wa CCM ni serikali mbili,wakati zaidi 60% ya watanzania wanahitaji serikali tatu!huu ni upuuzi,kuamini CCM ni zaidi ya Watanzania,ni kujidanganya tu,Je kila chama kikiamua kupita majukwaani na kutumia vyombo vya Habari kusema kuwa msimamo wetu ni huu,je tutafikia muafaka,huu ni utoto unaoletwa na kina @Nnauye na wenzake.
Binafsi nimechoka hizi kauli za CCM za kuona Warioba katumia bure Fedha za watanzania kukusanya Maoni,kutaka maoni ya CCM yawe mbele na Ya watanzania yawe nyuma.
Angalizo kama CCM itaendelea na utaratibu huu naomba vyama vya siasa vyote vipite majukwaani,vyombo vya habari kung'ang'ania Misimamo yao,hakuna chama kisicho kuwa na Misimamo yake bali wameamua kukubali maoni ya watanzania kupitia Tume ya katiba ya Warioba
""Allah nakuomba usikie maombi ya wengi ya serikali tatu,CCM na maombi yao ya serikali mbili washindwe na kulegea""""[/
 
Na wewe maslahi ya Taifa kwako ni nini?. Memorundum of Understanding. Au ndio unalisikia leo hilo neno?

It will take/cost you a lot of energy to understand what I wrote. National Interests do not rely on certain issue but on issues. Have you ever asked why french, Britons, Americans are ready to invade any nation of earth? the answer is simple if you were not aware, they are fighting to protect their nation interests.

Dear my brother in Tanganyikan name, open you mind, take time to find the reasons for MoU, you will see the truth. then you will stop making the useless noise on that issue, case closed, read between the lines to get the message
 
Since your reasoning is clouded by hidden religious fanaticism, let me remind you of the words of the 16th President of United States of America, Abraham Lincoln at the end of the American Civil war (1861-1865).

'' A Government of the People, by the people , for the People, shall not Perish on earth.''

Have I Made my self very Clear now?. Does your English speaking Pretense mentality understand me now?.

Do you understand now what a national interest mean?
.
 
Quoting Abraham Lincoln, does not mean You have a clear understanding on the issues of national interests!!!!!. You have a religion agenda. Do you want to be treated as a special group in Tanganyika? Your message is not clear, beef it up
 
My God! You Dude, read between the lines. Does it mean you don't see the point. Do I have to say it Bluntly! I have other things to do. This is not your league.
 
My God! You Dude, read between the lines. Does it mean you don't see the point. Do I have say it Bluntly! I have other things to do. This is not your league.
Because of my higher understanding on the national interest issues which surpasses far your understanding on the debated issue, then I think, you are very right MZIMU, this is not my league. I think I need to debate with an open minded person and not with a close minded person. In the 21st century you are thinking about favoritism!!!. Basi kazi ipo mpaka ufunguke karne nyingine inahitajika,, na wewe ndiyo msomi!!! mkiwa kumi wenye mawazo ya hovyo hovyo kama wewe taifa linaangamia
 
Because of my higher understanding on national interest issues which surpasses far your understanding on the debated issue, then you are very right MZIMU, this is not my league. I think I need to debate with an open minded person and not with a close minded person. In the 21st century you thing about favoritism. Basi kazi ipo mpaka ufunguke karne nyingine inahitajika!!!

Self Proclaimed higher understander, who does not understand national interests when it comes to the opinions of a group of people in a country which her population is larger than 50%.

Kazi ipo na hicho kingereza.
 
Self Proclaimed higher understander, who does not understand national interests when it comes to the opinions of a group of people in a country which its population is lager than 50%.

Kazi ipo na hicho kingereza.
more than 50% ya wapi? lugha ipi unayoijua vizuri tumie kupost. Ukijifanya mjuaji nami ni mjuaji, wote tumeenda shule twende kazi, jibu tuendelee
 
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema Bunge Maalumu la Katiba,litatekeleza majukumu yake kwa kufuata Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na si mawazo ya mtu yeyote.

Kauli hiyo ya Nape imekuja siku moja baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kusema kuwa litakuwa jambo lisilo la kawaida kwa Bunge hilo kubadili hoja ya msingi iliyopo kwenye Rasimu ya Katiba, akisisitiza kuwa jukumu lake ni kuifanyia marekebisho.

Warioba alisema hayo juzi alipokuwa akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD),kuhusu tafakuri na maridhiano kuelekea katika Katiba Mpya.

Alisema kama Bunge Maalumu la Katiba likipewa jukumu la kuandika Katiba linaweza kubadili mambo mengi, lakini kama Katiba itakuwa imeandaliwa na
chombo kingine, Bunge hilo linatakiwa kutobadili hoja za msingi.

Akizungumza na gazeti hili jana, Nape alisema: “Mchakato wote wa Katiba Mpya unasimamiwa na sheria na sio maneno ya Warioba. Sheria inazungumzia haki, wajibu na mamlaka ya Bunge hilo, hivyo inawezekana kabisa kuboreshwa na hata kubadilishwa kwa hoja.”

Nape alisema kulingana na sheria hiyo,Bunge hilo lina mamlaka ya kufanya jambo lolote katika Rasimu hiyo, ikiwa ni pamoja na kuifanyia maboresho kadri itakavyoonekana kuwa inafaa.

“Bunge haliwezi kutishwa na mtu yeyote kwa sababu lipo kwa ajili ya kuwawakilisha wananchi. Ndiyo maana baada ya Bunge hilo kwisha wananchi watapiga kura yamaoni,” alisema.

Akitolea ufafanuzi kauli ya Jaji Warioba kwamba Bunge hilo lifanye maboresho na si kubadili hoja za msingi, Nape alisema:“Maboresho maana yake ni kubadili.

Ukiwa na nyumba ya vyumba vinne na kuiboresha kwa kuweka chumba kimoja si umeibadili?”

Alisema Bunge hilo linatakiwa lisiingiliwe katika uamuzi wake.

Source: Mwananchi.

Nape akaimbe taarabu tuu na akina jaa people maana ni mburula vibaya
 
uwezo wa warioba kufikiria ni mkubwa kuliko wa nape anayefikiria maswala ya kichama zaidi

unajua ndugu yangu,tunaongozwa,na viongozi wenye upeo mdogo wa kufikiri, takwim zinaonyesha robo tatu ya wazanzabari wanataka mfumo wa serikali 3 nusu nyingine hawa hutaki kabisa muungano nauo ndio ukweli wa mambo, sasa chama cha mapinduzi kisiwalazimishie watu mfumo chama kinuchoutaka bali kiheshimu mawazo ya watanzania, ihi nchi soi ya ccm ni yawatanzania, mimi naona wazi kama ccm itachakachua maoni ya rasim kwenye bunge la ccm maana ili ni bunge la wanaosema hoja ihi ipite waseme ndiooooooo, wanaosema hoja ihi isipite waseme sioooooooo, basi walio sema,,,,,,,,,,,,, wameshinda, kwa mfumo huo wananchi wataikataa rasimu ya ccm kwanye kura ya maoni,cha msingi na ushauri wangu kwa chama cha mapinduzi wakubaliane na maoni ya watanzania juu ya nchi yao,
 
Nimekuwa nikishangaa kama mwananchama wa chama cha mapinduzi,katika swala la katiba mpya,Viongozi wa chama wamekua mbele kung'ang'ania tena majukwaani kuwa Msimamo wa CCM ni serikali mbili,wakati zaidi 60% ya watanzania wanahitaji serikali tatu!huu ni upuuzi,kuamini CCM ni zaidi ya Watanzania,ni kujidanganya tu,Je kila chama kikiamua kupita majukwaani na kutumia vyombo vya Habari kusema kuwa msimamo wetu ni huu,je tutafikia muafaka,huu ni utoto unaoletwa na kina @Nnauye na wenzake.
Binafsi nimechoka hizi kauli za CCM za kuona Warioba katumia bure Fedha za watanzania kukusanya Maoni,kutaka maoni ya CCM yawe mbele na Ya watanzania yawe nyuma.
Angalizo kama CCM itaendelea na utaratibu huu naomba vyama vya siasa vyote vipite majukwaani,vyombo vya habari kung'ang'ania Misimamo yao,hakuna chama kisicho kuwa na Misimamo yake bali wameamua kukubali maoni ya watanzania kupitia Tume ya katiba ya Warioba
""Allah nakuomba usikie maombi ya wengi ya serikali tatu,CCM na maombi yao ya serikali mbili washindwe na kulegea""""[/

mkuu chama cha mapinduzi wanajua kilicho nyuma ya panzia la serikali 2 waswahili usema ukimwona mtoto analia ujue kunajambo, iawezekani,katibu mkuu naibu katibu mkuu makamu wa rais katibu wa itikadi na uenezi mwenyekiti wa wazazi maccm wote wamshambulie mzee warioba kama haya maoni ni yakwake? kuna nini??? nandio maana wabunge wa ccm walipitisha sheria bungeni kumpa mamlaka bwana mkubwa kuteua wajumbe wa bunge la katiba, kwa nini wajumbe hawakupitishwa moja kwa moja na taasisi walizotoka? wewe unafikiri kwa nini idadi kubwa ya wabunge wa bunge la katiba ni wabunge wa bunge la jamuuri ya muungano ambao wengi wao ni maccm umeshakaa chini na kutafakari? sasa unaniambia hapo kuna katiba mpya? ikiwa tume ya katiba wameshaivunja? maana wanajua tume ikiwepo itaathiri mpango wao wa kuchakachua? maana mzee warioba atawashinda kwa hoja na wao hawana hoja bali kulazimisha serikali 2
 
Yaani kuna watu wengine wana akili za ajabu sana, unataka tutengeneze katiba ktk msingi kuna kundi Fulani la dini ukristo/uislam ni wengi?! Kuliko jingine! This is absolutely disgusting.
 
Back
Top Bottom