Kauli ile ya bao la mkono ilikuwa mbaya sana kwa demokrasia ambayo tume ya uchaguzi kwa mujibu wa katiba yetu huwa inateuliwa na mwenyekiti wa chama tawala.
Sio NEC, msajili wa vyama vya siasa, serikali wala viongozi wakuu wa CCM walioikemea hadharani kauli ya Nape ya bao la mkono. Nape kasema hadharani na hata ukemeaji wake (kama ulikuwepo) na adhabu kwa Nape ungepaswa kuwa hadharani pia ili watu wote wasikie na kuona.
Sasa UKAWAWA wanahaha na kuhangaishwa na kauli ile ya Nape maana hawaijui saa wala wakati, mbinu wala watu watakaofunga bao hilo.
Kwao wao kuondoka vituoni wanadhani ndo itakuwa saa na wakati bao hilo litapofungwa kwa mkono. Wanaweza kuwa wako sahihi au wamekosea kabisa wanachofikiria kuhusu kubaki vituoni. Lakini je, sheria na uzoefu wetu wa uchaguzi unatuambia nini? watu wakae au waondoke kwenye vituo? tuepusheni na shari.