Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

chema hawajaanza leo kutumiwa na mataifa ya kigeni mpaka kagame anawatumia.
 
Nape hana jipya jamani,we dont have to bother him coz alwayz hukurupuka-mlopokaji.so tumuache 2015 aone mwenyewe.
 
Shame on you Nape, Acha kudanganya Umma wa Watanzania. Lakini Watz wengi wanakuelewa kuwa wewe ni mtu wa kuropoka tu huna lolote lile. Jipangeeeeeeeeeeeee
 
MTU MZIMA? Unafahamu maana ya Mwanaume Mtu mzima? Hahahahaa, sikujua mambo ni Mkono wa sweta.
 
mkuu, Nape ni kiongozi wa chama tawala ambacho kina mikono mirefu. hivyo kauli ya Nape si ya kupuuzwa wala kuingiziwa mizaha. watanzania tutafakari kwa pamoja na hawa wanasiasa uchwara ambao wanazoea kutumiwa kuvuruga nchi yetu tuwakatae kabisa

si wana mamlaka? Sheria ya pesa haramu si ipo? Acha ujinga wewe
 

Nasikitika hata wale wanaojaribu kumjibu wanjichosha kiasi gani!! huyu jamaa yuko kazini, kama Chama kinafanya uzushi yeye ataeneza nn kama si uzushi huo? Mnakumbuka kama Nape alikuwa katika mchakato wa kuanzisha CCJ? Anachofanya hapa ni nn? CCM inao watu wa ajbu sana huko na wachumia tumbo, unakumbuka Adam alikuwa mrithi wa ukuu wa chama cha baba yake Mzee Malima? leo na yeye ni mtetezi wa kweli wa CCM? Mzee Wassira naye ni CCM wa kweli?
Wakitoka hapo ndo mtajua kila mmoja rangi yake halisi?
 
Siasa za maji taka hizi.Haziwezi kununuliwa.
 
Kama kweli thread hii ni ya kweli yaliyomo yalisemwa na Nape ni kichekesho maana yote ni hadaa na hayana mshiko 2015.
Kumbe hujaona wakipewa hizo pesa bali umesikia wamepewa mapesa++++hatuishi kwa kusikia wala tetesi bali kwa kuona.
Thibitisha mapesa hayo wamepewa na nani pasipo kuacha shaka.
Waliowaingiza vibaraka wa nje nchini kwa mgongo wa uwekezaji ni nani?
katiba ni ya watanzania wote na sio ya kikundi cha wasaka madaraka tu.
 
Mkuu, kwa kuwa Nape ni kiongozi wa chama tawala, kauli yake si ya kubeza hata kidogo. huwezi jua ana ushahidi kiasi gani katika hilo. sote tutafakari kwa pamoja


Ujaribu kutofautisha siasa na ukweli wa mambo. Hizo ni propaganda tu za kisiasa wala sio jambo la kusumbua akili za watu.
 
nawalaumu hao wananchi wanaokubali kufanywa wapumbavu na nape,kwanini wasimpopoe na mawe,
 
Naomba kama kuna mtu amemwelewa ni kwa nini wazungu wanataka kuvuruga mchakato wa katiba?
 

Huyu nepi nashindwa kumtofautisha na mtu anayeji......... Kidole .............halafu ananusa
 
Mambo yote ya msingi unakaa kimya kama hauko hai, hili la vurugu bungeni umeliona la maana kuliko matukio mengine yaliyotangulia. lengo lako tusahau meli ya Tanzania iliyokamatwa na bangi huko Italia. Madawa ya kulevya yamenaswa umekaa kimya, matokeo mabaya ya wanafunzi wetu yalikuwa mabaya - ukakaa kimya, wanyama hai wamesafirishwa nje ya nchi ukauchuna, meli ya boss wako imekamatwa na meno ya tembo ukakaa kimya. Hili la vurugu bungeni ambalo chanzo chake ni naibu spika (AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA) umelikomalia na kuanza kutumia ovyo kodi ya wananchi kuzunguka mikoa mbalimbali kama ulivyofanya kuhusu Dr. Slaa kuwa na kadi ya CCM. Ovyoooooo
 
Ni aibu mtu mwenye Master Degree kuzungumza UTUMBO kiasi hiki. Labda Nape ameamua kuwadharau watu wa Tabora kwa kuwa wapo vijijini au alifikiria kauli hii haitasikika nje ya Tabora. Mwalimu aliyempa Nape Master degree shame on you
 

nape ni boga kama maboga mengine tangu uwashutumu ROSTAM,LOWASA NA MZEE WA VIJISENTI HUJATULIA MPAKA LEO.Nionavyo mimi umejiloga mwenyewe.
 
mkuu, Nape ni kiongozi wa chama tawala ambacho kina mikono mirefu. hivyo kauli ya Nape si ya kupuuzwa wala kuingiziwa mizaha. watanzania tutafakari kwa pamoja na hawa wanasiasa uchwara ambao wanazoea kutumiwa kuvuruga nchi yetu tuwakatae kabisa
CCM ni sawa na UKOO WA PANYA, Baba mwizi, mama mwizi, mtoto mwizi, kaka mwizi , dada mwizi, Babu Mwizi, Bibi mwizi, shemeji mwizi,mkwe mwizi,Tumia dawa kali aina ya CHADEMA!. Uweze kuangamiza ukoo wa mapanya waharibifu aina ya CCM!!!! Vinginevyo ukicheka na mapanya utaambulia....Ufisadi.Tuma sms hii kwa watu 15 kuiangamiza familia hii ya panya mwaka 2015 ktk uchaguzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…