Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
mwakyembe alimfichia siri nani kwenye wizi wa richmond hadi akaukwaa uwaziri??!!tafakari.
Tatizo ndani ya ccm hakuna msafi....
kwa hiyo unataka kusema nini!!? hata kama ni kweli ila wanatofautiana kwa viwango vya uchafu, kuna wengine wakioshwa kwa foma tu, wanatakata, ila kuna mwingine ili atakate lazima mtumie conc sulphuric acid, kwa kumloweka humo wiki nzima!! mkimkuta hai ndio atakuwa safi!!! Eti mtu akimsema mtu ohhh ccm hakuna msafi, kwa hiyo wampe tu huyo mafia?!!