Nape: Free WiFi kwenye mwendokasi na masoko ya wamachinga nchi nzima

Kashindwa kuleta kumleta Elon musk tunapata net ya uhakika Nani kamwambia tunataka bure
 
Hapo ndiyo utajua tunatawaliwa na watu aina gani, badala ya kupeleka internet colleges na Universities ziwasaidie wanafunzi kwenye masomo yao unapeleka kwenye daladala mtu anayeshuka kituo kinachofwata …
Kwenye daladala na masokoni ndo walipo wapiga kura wengi...
 
Hawa airtel wanaongeza hizo generations tu ila ukii browse mwendo wa kobe .
 
Badala ya free WiFi yenye speed ya kobe, bora tungepunguziwa gharama za mabando
 

[emoji28][emoji28] maake hapo kwanza ncheke.
 
Haters wa mama watabisha!!!!
Mama, namaanisha huyu Mama Samia Suluhu Hassan, hakika hana mpinzani. Hapo kwenye machinga wamepaona vizuri kabisa kwa ustawi wa biashara
 
Ila wakati wa uchaguzi na matokeo wataifunga kupisha waporaji wapite.
 
Kama wananunua Bando la kuangalia PONO, hii internet ya bure watakuwa wana upload wenyewe.
 
WiFi itapunguza msongamano wa abiria na mabasi yatakuwa yanafika
Kituoni kwa wakati

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…