Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fika pale mkuu utafutahi sana!,WiFi masokoni ni akili kubwa na msaada mkubwa kwa wajasiriamali.Password tafadhali!
Dr. Janabi: Haters wa Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, hatarini kujifungua kabla ya wakati!Nguvu ya soda tu
Hiyo WiFi huduma haitamaliza mwezi
Jiiiii
Ova
“Tutaweka Free WiFi kwenye mabasi ya mwendokasi kwa sababu tunataka watu watumie huduma hiyo, lakini pia nchi nzima kwenye masoko yaliyojengwa ya wamachinga itapelekwa Free WiFi”
Ameyasema Wazi wa Habari, Mwasilino na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye wakati wa uzinduzi wa teknolojia ya 5G kwa Mtandao wa Airtel (Agosti 10, 2023)
Sokoni tena la wamachinga kulivyo na makelele na msongamano wa watu huo.muda wa kutumia hiyo free WiFi utaupata wapi.Kama vile nawaona Vijana jobless watakavyo shida masokoni na kwenye hayo mabus..