johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hana njaa bwashee!Nape kuna pengo lake kubwa sana kwenye uchaguzi huu
Anaweza kuwa msemaji mkuu wa serikali!Hivi kazi gani nape aweza Fanya mtaani zaidi ya kulopoka?
Bwashee una uhakika hakufanya kosa?Angekuwa ana imani na CV asingeenda kuomba msamaha kwa kosa ambalo hakufanya
Zile ni mbwembwe tu za kisiasa. Kiki bwashee!Kama hana njaa kwanini alikwenda kulia na kupiga magoti Ikulu?
Kimsingi kwa tamko hilo ndio anaonesha kutetea njaa aliyonayo.Kama hana njaa kwanini alikwenda kulia na kupiga magoti Ikulu?
Ndio maana yake bwashee!Sina shaka na elimu yake ya uhakika lakini mtaani kuna wenye elimu ya uhakika pia na wanakufa njaa. Yeye angeongeza kusema ana elimu ya uhakika, connection ya kutosha na ameshavuna mtaji wa kutosha kuendesha maisha kwa njia mbadala.
Atawapiga CCM BAO LA MKONO ni MTALAAMU SANAKama hana njaa kwanini alikwenda kulia na kupiga magoti Ikulu?
Sasa bwashee sheria za mawasiliano zipo obvious, yaani Mimi nikudukue wewe halafu wewe uje uniombe msamaha inaingia akilini kwel?Bwashee una uhakika hakufanya kosa?
Waajiri wengi au business partners wengi siku hizi hawapendi kufanya kazi/biashara na wanafiki.Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika.
Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yoyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za ubunge atamshughulikia hapo hapo.
Maendeleo hayana vyama!