LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Lakini hawezi kupata marupurupu ya mbunge. Ndio sababu hata Maprof wameacha kazi zao kwenda bungeni. Na wengine wameokotwa jalalani kwenda bungeni..Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika.
Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yoyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za ubunge atamshughulikia hapo hapo.
Maendeleo hayana vyama!