Lakini hawezi kupata marupurupu ya mbunge. Ndio sababu hata Maprof wameacha kazi zao kwenda bungeni. Na wengine wameokotwa jalalani kwenda bungeni..Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika.
Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yoyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za ubunge atamshughulikia hapo hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Atulie wenye dhamana ya maamuzi wateue jina kwa maslahi ya chama. Wote walioomba kuteuliwa wana shughuli zao za kuwapatia kipato sio yeye tu. Kuna maisha baada ya uchaguzi. Muhimu aheshimu taratibu za chama chake.Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika.
Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yoyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za ubunge atamshughulikia hapo hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Alishindwa kumshughulikia aliyemshikia bastola ataweza sasa?Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nnauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika.
Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yeyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za Ubunge atamshughulikia hapo hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Au ulimaanisha mapumbu mkuu?huyo Nape bila siasa atakula mapumba.
Ndio mwanzo wa kukata tamaa kashashtukia mchezo hata kwenye twits zake ni tabu tupuMbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nnauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika.
Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yeyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za Ubunge atamshughulikia hapo hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Sitiresi zinachangia hajiamini kabisaHuyo Jamaa hamna kitu! Debe tupu
Anawatisha aone kama watatishika maana anajua kwenye kampeni huwa anasaidia saidia.Nape kuna pengo lake kubwa sana kwenye uchaguzi huu
Hahahaaaa...... Inawezekana wachaga wanachanganya a na u!Au ulimaanisha mapumbu mkuu?
Huyo Jamaa hamna kitu! Debe tupu
ccm hakuna ambaye hajatoa rushwa ni walizidiana tuπππ Nape kumbe alitoa rushwa pia!!!