Sio kwamba akajiajiri??Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nnauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika.
Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yeyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za Ubunge atamshughulikia hapo hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Aje ajiajiri asijifiche nyuma ya Elimu ya uhakika. Si ana mtaji?? Shida iko wapiHahhhahaaa!
Karibu mtaani bwana Nape(goli la mkono)
Huku ndo wapo watu halisi wenye elimu Kama yako lakini ni wauza matunda.
Zile ni mbwembwe tu za kisiasa. Kiki bwashee!
Ccm mbona mnazodoana badala ya kupeana pole?Huyu Nape ashukuru tu Mali alizochuma kupitia siasa kwa mgongo wa baba yake na CCM iliyombemenda tangu akiwa kinda.
Kuhusu elimu hana elimu ya kutosha labda awatishie kijijini kwake mtama,na itoshe kusema tu alionyesha upunguani baada ya sauti za ku 'msnitch' Jiwe kuvuja na kwenda kuomba msamaha huku kamasi zikimtoka njia nzima.
Huyu Ni mfu anayejizoazoa kisiasa.!
Hana uwezo huo alibebwa tu na mfumo corrupt. Yuko wapi mtaalam Makamba Jr??Nape alikuwa mmoja wa makada machachari sana awamu ya 4 ila kwa sasa kazimwa kabisa.
Kweli kila kitabu kina kurasa zake ila huenda akarudi tena kwenye kilele chake maana siasa haina mwenyewe.
Land cruiser...!!! Pole.Elimu gani alonayo? Ya chuo cha diplomasia aliyositishiwa ufadhili na JK pale alipokataa kuondosha jina lake ili Nchimbi apite bila kupingwa? Je, ashamlipa Ladwa kwa kumpa mafuta ya ile landcruiser.
Kama kitu hujui kaa kimya. Nape yupo humu anaelewa nasema nini! Hata Nzee malecela alimfadhili anajuaLand cruiser...!!! Pole.
The smallest minds often come with the biggest mouths.
Wanasiasa wote wana njaa bwashee!Kumbe kilichompeleka kwenye siasa ni njaa zake na ili asife njaa, a bogus politician katika ubora wake. Fikiria huyu kesha wahi kuwa mmoja wa viongozi waandamizi katika chama tawala/dola kwa maana hiyo katika taifa. Ndio maana wengine tuna amini wako watu wazalendo na wenye uchungu na taifa hili walio kunywa maji ya bendera huko nyuma ya pazia wanao hakikisha taifa hili halipotei na kuangamia.
Wanasiasa wote wana njaa bwashee!
Hizi ni zama za Makonda.Kweli kila kitabu kina kurasa zake
Vuvuzela, MC NapeHivi kazi gani nape aweza Fanya mtaani zaidi ya kulopoka?
Lile la kuomba msamaha limemuacha mtupuHuyu Nape ashukuru tu Mali alizochuma kupitia siasa kwa mgongo wa baba yake na CCM iliyombemenda tangu akiwa kinda.
Kuhusu elimu hana elimu ya kutosha labda awatishie kijijini kwake mtama,na itoshe kusema tu alionyesha upunguani baada ya sauti za ku 'msnitch' Jiwe kuvuja na kwenda kuomba msamaha huku kamasi zikimtoka njia nzima.
Huyu Ni mfu anayejizoazoa kisiasa.!
Nape anaweza ugomvi? Mbona alionekana mikono nyuma akielekea kwa mkulu?Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nnauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika.
Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yeyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za Ubunge atamshughulikia hapo hapo.
Maendeleo hayana vyama!