Nape: Hata kama jina langu litakatwa sitakufa njaa kwa sababu nina elimu ya uhakika

Nape hana lolote huyu kwanza hana malezi! Ana mdomo mchafu sana na hana diplomasia yoyote ya kuweza kupata kazi mahali.

Hana weledi wala akili za kuringia kuwa ni msomi, ni mpayukaji tu. Kumbukeni alivyokuwa anaporomosha mitusi wakati wa kampeni za 2015 kama mwendawazmu.
 
Huenda amenusa kukatwa jina lake. Kikubwa atulie tu kwani watakaokatwa si yeye peke yake.

Haya mambo kwamba ana elimu ya uhakika kwa hali ya nchi hii ilivyo kwa sasa hayamsaidii . Wapo wenye elimu ya uhakika zaidi yake wapo mitaani.

Asipanic, awe mpole tu. Huenda kauli km hizi zikakomelea msumari katika mchujo unaendelea ndani ya chama.
 
Wana bahati wana watoto wadogo hivi unakuwa na libaba linafiki kama hili? alipokonywa uwaziri sababu ya Makonda, akatishiwa bastola, akanyakwa anamchamba mkulu, akajidhalilisha kuomba msamaha hivi na huyu kweli ni mwanaume?.
 
Dhambi ya kuzuia bunge lisioneshwe live itamtaffuna mpaka anaingia motoni.
 
Nape hana uhakika na kamati ya roho mbaya ya ccm!!!!!Nadhani keshajua kinachoendelea ndani ya kamati ya mauaji!!ngoja tuone!!
 
Loh! Pamoja na kuwa na Diploma ya Chuo cha Diplomasia hana " diplomasia yeyote". Nimepapenda hapo. Hebu tulidadavue hilo la ukosefu wa malezi akiwa mtoto.
 
Nape hawezi kuendesha maisha au kuishi nje ya siasa, hata hizo mali kapata katika mgongo huo wa siasa.
 
ASISEME ANA ELIMU YA KUTOSHA, ASEME ANA CONNECTION YA KUTOSHA HILO NDO LILITAKIWA LIWE JIBU LAKE, KAMA NI ELIMU KUNA WATU WANA ELIMU ZAIDI YAKE NA WAPO MTAANI WANASOTA.
 
Wakati mwingine mdomo huponza kichwa...
 
Nape yupo sahihi kabisa ....ana "tako" la kumtosha kuishi mjini hayo ya "elimu "tuwaachie wenyewe!
Nape ana usomi wa kwenda kumlamba "matako" mwenyekiti wa chama chake!
Na kwa nini asingeitumia hiyo elimu yake ya India kuishi toka mwanzo.
 
"Wakitumaliza sisi hata nyie hamtabaki salama" sijui nani alisema hivi
 
Huyu mjinga sana, kwani wasiosoma ndio aliambiwa hawana maisha mazuri. Tena sisi wasomi ndio waoga wa maisha
 
Mtaalamu wa magoli ya mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…