MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Tena inaonekana zimerudi zote kabisa, ila awe anavaa bullet proof maana jamaa hawachelewi kutumia risasiTetetete tetetetet zimemrudi
SWISSME
Tena inaonekana zimerudi zote kabisa, ila awe anavaa bullet proof maana jamaa hawachelewi kutumia risasi
mmmhh TBC wakirusha hiyo mambo kesho lazima tuwakute wote pale kisutuTbc
SWISSME
Atateka wangapi, sisi ukawa tulipata kura milioni 6 pamoja na wizi na uporaji wote ule wa kura, sasa ataua watu wangapiHahaha mjomba jiwe atakuteka
SWISSME
tukiachana na hayo makosa ya kiuandishi, vipi maoni yako kuhusu kauli ya Nape?Akili= akiri
Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Wakati wowote tunaweza kusikia kimeteketeaKibanda kishaanza kufuka Moshi
Kiti si walimpa Mshamba,Sasa wanatapatapa
Ungeweka maelezo yake fully au video ,ngoja niisake youtube
We bora ufe tu, huna mchango kwa kizazi chako achilia mbali nchi.Bavicha hata tofauti kati ya "akiri" na " akili" hamfahamu halafu mnataka mtuongoze.
Ameshaona hii ni serikali ya washamba.
Neno moja umelishupalia hadi udhu imekutoka, ila content yake umeacha. Ni tatizo la teknolojia ya auto collectionAkili= akiri
Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Atateka wangapi, sisi ukawa tulipata kura milioni 6 pamoja na wizi na uporaji wote ule wa kura, sasa ataua watu wangapi
Huu ni mfano wa namna gani kuna kundi kubwa la wasiojitambua huko upinzani.We bora ufe tu, huna mchango kwa kizazi chako achilia mbali nchi.
Hujui totauti ya AKILI na AKIRI??? aibu hata watoto wako wakiona.
Kweli hata kitiila naye kafanya hayo hayoitakua wamemrudishia ubongo wake, kwa maana inasemekana ukipewa uteuzi na mwanyekiti basi ni sharti ukabidhi ubongo wako kwa sekretary, baada ya hapo utaishi kwa kufuata fikra za mwenyekiti, mtazame profesa kabudi, unadhani kuna ubongo wa profesa kule kichwani?? ni kamasi tupu na fikra za mwenyekiti.
Nnape anzisheni mkakati wa kumng'oa huyu Msukuma..tulioyashuhudia hii miaka yanatosha.