Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

kumbe na wewe uwa unaandika hovyo hivi? akili ndio nini kwenye mada yako?
 
Wameshaanza kutajana, soon aliyeagiza Lissu auawawe na waliopanga njama hadi utekelezaji wataanikwa, naiona CCM ikielekea kuzimu kwenye ziwa la moto na huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
itakua wamemrudishia ubongo wake, kwa maana inasemekana ukipewa uteuzi na mwanyekiti basi ni sharti ukabidhi ubongo wako kwa sekretary, baada ya hapo utaishi kwa kufuata fikra za mwenyekiti, mtazame profesa kabudi, unadhani kuna ubongo wa profesa kule kichwani?? ni kamasi tupu na fikra za mwenyekiti.
Kweli hata kitiila naye kafanya hayo hayo

In God we Trust
 
Mwisho kaona Ungese safi sana Nape.
Shaur yake
tapatalk_1544236339758.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom