Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

Atateka wangapi, sisi ukawa tulipata kura milioni 6 pamoja na wizi na uporaji wote ule wa kura, sasa ataua watu wangapi
Lakini anaweza kuwaambia ARAB CONTRACTORS waache kwanza kujenga Stigla watutembezee majambia ndio waendelee na Kazi.
 
Nnape anzisheni mkakati wa kumng'oa huyu Msukuma..tulioyashuhudia hii miaka yanatosha.
@imhotep mimi najua wewe ni nape na nape ni wewe,
Yaani huwaga nacheki halafu nasema hhiiiiiiiiiiiiiii
Yaani watanzania wengi akili zao hua zinashikiliwa na tumbo.
Hata huyo mpiga debe siku maslahi yake yakiguswa ataungana na nyinyi.

Maendeleo hayana chama
 
Wamevumilia vya kutosha kuwaona wahamihaji haramu wanakuja na kupewa ajira kubwa wakati kuna wafia chama wanaishi kama mashetani
LUMUMBA WATAPONDA 😎,

CCM ASILI WANAANZA KURUDISHA HESHIMA YAO.

In God we Trust
 
NAPE akihama ccm basi inabakia garasa tu

In God we Trust
 
Akili = akiri

Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Umekosa majibu unaleta vihoja.

Kwanza ungekuwa umeelimika, hiyo kasoro ya kiuandishi wala isingekuwa issue kubwa kwako bali issue ingekuwa ni hayo maneno ya Nape.

Ni wazi elimu yako haijakusaidia kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…