Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Bado anakumbukia hapo Sasa hivi angekuwa anakula kuku amekamatia mfupa sidhani Kama angesema yote hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washamstukia jamaa yao na kwa sasa kusini ndio waongoza mbioWameanza kujua sasa kuwa sio kila aliyevaa suti ni mzima, wengine ni vichaa
Lakini anaweza kuwaambia ARAB CONTRACTORS waache kwanza kujenga Stigla watutembezee majambia ndio waendelee na Kazi.Atateka wangapi, sisi ukawa tulipata kura milioni 6 pamoja na wizi na uporaji wote ule wa kura, sasa ataua watu wangapi
@imhotep mimi najua wewe ni nape na nape ni wewe,Nnape anzisheni mkakati wa kumng'oa huyu Msukuma..tulioyashuhudia hii miaka yanatosha.
LUMUMBA WATAPONDA 😎,
CCM ASILI WANAANZA KURUDISHA HESHIMA YAO.
Kasema wapi hayo maneno!! weka source.
Tetetete tetetetet zimemrudi
SWISSME
Neno moja umelishupalia hadi udhu imekutoka, ila content yake umeacha. Ni tatizo la teknolojia ya auto collection
Tbc
SWISSME
Nape na Zitto! Makinikeni, msonobari hauchorongwi - JamiiForumsYule mbunge maarufu wa kufunga bao la mkono amesema anajutia tamko lake la bao la mkono na pia kuzuia bunge kurushwa live ilikuwa ni hoja yake dhaifu ya kisiasaView attachment 1026228
In God we Trust
NAPE akihama ccm basi inabakia garasa tuMatendo yake ya miaka mitano anakuja kuyakana ndani ya mwaka tu..kweli mwanasiasa mnyime nafasi..nadhani hata haya tunayoyaona kwa kina lissu na kina lema ni sababu hawana nafasi serikalini... hawapo kihalisia..endelea kufunguka bwana nape upate sympathy kutoka upinzani..maana huko ccm hawataki hata kukusikia hususani timu lowasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosa majibu unaleta vihoja.Akili= akiri
Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Safi sana Nnape Sometimes wenzako wakikutea Ungese wanyooshe.
View attachment 1026248
Huyu bwana akili zimeanza kurudi kichwanYule mbunge maarufu wa kufunga bao la mkono amesema anajutia tamko lake la bao la mkono na pia kuzuia bunge kurushwa live ilikuwa ni hoja yake dhaifu ya kisiasaView attachment 1026228
In God we Trust
Kumbe ndiyo sera za ccm hizo?mmmhh TBC wakirusha hiyo mambo kesho lazima tuwakute wote pale kisutu
Mwisho kaona Ungese safi sana Nape.
Nasikia hata wao wameanza kusikilizia wazee wa nchi hasa unescoLakini anaweza kuwaambia ARAB CONTRACTORS waache kwanza kujenga Stigla watutembezee majambia ndio waendelee na Kazi.