Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

Kiunafki bora hata nimshangiliwe jiwe lakini sio huyo kenge aliyekua na maneno ya shombo kuliko hata lile shombo la ferry.

Maendeleo hayana chama
Mkuu naona kweli Nape kakuchefua

In God we Trust
 
Mkuu naona kweli Nape kakuchefua

In God we Trust
Hakuna mwanasiasa nnaemchukia kuliko huyo kenge,
Alikua na dharau, kejeli, ufidhuli kuliko hata wazee wenye chama chao.
Yaani katika watu wanaostahili kulipwa mabaya zaidi ni huyu kenge maana yeye ndie alikua mpiga zumari mkuu wa kila upuuzi uliokua unafanyika, sasa leo hii upuuzi uleule aliokua anaufanya unaanza kumrudia anataka watu walewale aliowafanyia ufidhuli,kejeli na dharau tumhurumie.

Maendeleo hayana chama
 
Jamaa anaweweseka sana anahisi hatia dhambi waliowafanyia watz itawatafuna sana,maana bila wao tusingepata shida,watu wasingebomolewa nyumba zao, fukuzwa Kazi,uwawa,TL asingepigwa hii dhambi itawatafuna sana
 
Akili = akiri

Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Katawaze , acha matusi. Ukitawaza akili inakurudi huwezi kutukana. mtume anasema mwanamke atawaze!
 
Sikisii uandiwhi hata siku moja. 99% Nnakosoa "r" na "!" Kama za huyo poyoyo hapo juu.

Unafikiri huyo poyoyo atasahau tena akili na akiri? Thubutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…