Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mkuu naona kweli Nape kakuchefuaKiunafki bora hata nimshangiliwe jiwe lakini sio huyo kenge aliyekua na maneno ya shombo kuliko hata lile shombo la ferry.
Maendeleo hayana chama
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona kweli Nape kakuchefuaKiunafki bora hata nimshangiliwe jiwe lakini sio huyo kenge aliyekua na maneno ya shombo kuliko hata lile shombo la ferry.
Maendeleo hayana chama
Wacha awasambaratishe magamba wenzake
In God we Trust
Hakuna mwanasiasa nnaemchukia kuliko huyo kenge,Mkuu naona kweli Nape kakuchefua
In God we Trust
Kwa mitutu ya bunduki na mabomu sawa lakini siyo kwa Sera wala ujengaji wa hoja.Mtaweweseka sana - mtajaribu kumchonganisha lkn mtakwama - CCM ni imara kuliko kipindi chochote cha maisha yake
Nimepita lumumba nimewakuta wamejazana kibao ofisini kwa chakubanga wanajipanga jinsi ya kumjibu Napesijajua vijana wa lumumba waliomo Humu.wanasemaje kuhusu nape.
nadhani sasa hivi WaPo kwenye vikao wakipata muongozo
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili= akiri
Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Nape kasema alivyosema na nimeewa lakini nami nipo katika kuwapa darsa ndogo ndogo, au hamjalipenda hilo?
Katawaze , acha matusi. Ukitawaza akili inakurudi huwezi kutukana. mtume anasema mwanamke atawaze!Akili= akiri
Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Sikisii uandiwhi hata siku moja. 99% Nnakosoa "r" na "!" Kama za huyo poyoyo hapo juu.Kwahiyo unaamini makosa ya kiuandishi hapa JF yataisha kwa wewe kukosoa uandishi tena huu ambao sometimes ni typing error tu?
Mwenyekiti wako japo ana PhD, lakini kutamka tu maneno ya kiswahili kwa ufasaha ni shida.Sasa ndio iwe wa humu JF?Hii kazi uliojipa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Jitafakari upya!
Nape nimeota unafukuzwa uanachama CCM!Yule mbunge maarufu wa kufunga bao la mkono amesema anajutia tamko lake la bao la mkono na pia kuzuia bunge kurushwa live ilikuwa ni hoja yake dhaifu ya kisiasaView attachment 1026228
In God we Trust
Ohoo, nani ambae si mtoto wa watu? Paka?kwa hiyo we bibi kazi yako ndio hiyo kuangalia watu wamekosea wapi kwani hujaelewa jenga hoja acha kujifanya mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Katawaze , acha matusi. Ukitawaza akili inakurudi huwezi kutukana. mtume anasema mwanamke atawaze!