Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

Katawaze , acha matusi. Ukitawaza akili inakurudi huwezi kutukana. mtume anasema mwanamke atawaze!
Mkuu jifunze kuandika vizuri.hata kama ukiongea huzingatii misingi ya lugha basi jitahidi kuandika vizuri mkuu.

Eti KATAWAZE daah aisee.[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanasema kutamka. Humu kuna kutamka au kuandika?

Mapunguani wengi kweli kweli.
 
Kutawadha siyo "kutawaza".

Na mwanamme?
sijui! mwanamume sijui anafanyaje, I am not of that denomination.... .
By the way, Let me give you a story, Faiza at one time I had a muslim girl friend, when I was a young guy, unmarried. She came to visit me. We commited adultery, and thereafter I welcomed to het have lunch which was ordered from a hotel. You know what she insisted: " Please take care that you do not serve me with pork" in very strong terms! Nikamjibu. Kipi ni dhambi zaidi: Kiti moto au kuzini ambako tumekufanya. Lipi ni chukizo kubwa kwa Mungu? Alishindwa kutoa jibu! We una jibu gani ustaadhi???
 
Hao jamaa sijui kama watampa kura msimu huu. Maana nasikia wanamchukia mpaka alihama jimboni kwake
God save us
 
Hao wazungu ndiyo wanao wafanya muishi kwa raha bila misaada yao leo hii usingekuwa unabwabwaja huu ugoro wako muda huu
Mtu yuko ulaya 95% are whites alafu wewe unaona ujiko lissu kupiga picha na white. Hatari sana.

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…