Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Unatishia matusi JF? Lipi jipya utalotukana ambalo sijatukanwa JF?
Punguani wahed.
Hebu weka hiyo nanihii yako mbali tafadhali, sio kila mtu anahitaji hiyo huduma haswa ya makumbusho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatishia matusi JF? Lipi jipya utalotukana ambalo sijatukanwa JF?
Punguani wahed.
Check akili za ccm
Baada ya kupatikana Chanel 10
Sasa katumwa nape aichokonoe hoja ya bunge live halafu wale wa std 7 kule bungeni watamsapoti kisha spika atasapoti then ataikazania soon mfalme mwenye kadhabu atatoka na kuiponda hii hoja ya nape kisha bunge live litarudi mwisho ccm watashangilia baba ao kurudisha bunge then at the end maandamo kumpongeza mfalme mwenye gadhabu
Sent using Jamii Forums mobile app
It's too late akili zetu zimeshanasa.Yule mbunge maarufu wa kufunga bao la mkono amesema anajutia tamko lake la bao la mkono na pia kuzuia bunge kurushwa live ilikuwa ni hoja yake dhaifu ya kisiasaView attachment 1026228
In God we Trust
It's too late akili zetu zimeshanasa.
Mnashangiliq mtu kupiga picha na ngozi nyeupe tena ulaya ambako hata ombaomba ni whites.
We kweli hamnazoMnashangiliq mtu kupiga picha na ngozi nyeupe tena ulaya ambako hata ombaomba ni whites.
Hizi kweli akili za ufipa.
Mnashangiliq mtu kupiga picha na ngozi nyeupe tena ulaya ambako hata ombaomba ni whites.
Hizi kweli akili za ufipa.
Mnashangiliq mtu kupiga picha na ngozi nyeupe tena ulaya ambako hata ombaomba ni whites.
Hizi kweli akili za ufipa.
Mnashangiliq mtu kupiga picha na ngozi nyeupe tena ulaya ambako hata ombaomba ni whites.
Hizi kweli akili za ufipa.
"Nanihii" mamako hana?Hebu weka hiyo nanihii yako mbali tafadhali, sio kila mtu anahitaji hiyo huduma haswa ya makumbusho.
Biashara ya mwanasiasa ni kuongea..ila mwanasiasa hupimwa uwezo akiwa madarakani..leo hii mtu kama lissu au mbowe kuwapa madaraka makubwa ni tatizo..vivyo hivyo kina zitto na kina nape itakuwa tatizo..wamuhoji pia kwa nini alitoa bastola kwenye kampeni za ubunge mtama..pia kwa nini aliwaambia wananchi wa mtama kwa jeuri watake wasitake ye ndio mbunge wao hata kabla ya uchaguzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hapo unajikuta umechangia hoja!Lumumba bhana!Bavicha hata tofauti kati ya "akiri" na " akili" hamfahamu halafu mnataka mtuongoze.
"Nanihii" mamako hana?
Kwani kujua kiswahili kwa ufasaha ndio kuelimika???Kuna watu wanajua lugha lakini ni wajinga,mfano ni wewe ajuza!Akili= akiri
Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Mimi sikuwahi kuihujumu nchi yangu ila msiambiwe ukweli siwezi kuangalia Watanzania wenzangu wanapigwa risasi kisa ati CCM kwanza.
Mimi sikuwahi kuihujumu nchi yangu ila msiambiwe ukweli siwezi kuangalia Watanzania wenzangu wanapigwa risasi kisa ati CCM kwanza.
Magufuli hajui kutofautisha "r" na "l",fuatilia hotuba zake!Bavicha hata tofauti kati ya "akiri" na " akili" hamfahamu halafu mnataka mtuongoze.
Huu nao mtambo mwingine.
Huu nao mtambo mwingine.