Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

Unatishia matusi JF? Lipi jipya utalotukana ambalo sijatukanwa JF?

Punguani wahed.

Hebu weka hiyo nanihii yako mbali tafadhali, sio kila mtu anahitaji hiyo huduma haswa ya makumbusho.
 
Kama mshauri wa chama ni Diamond unategemea nini mkuu?
In God we Trust
 
Naona unawatukana wenzenu wanao tembeza bakuli huko kwa wazungu ili mtengenezee miradi yenu ya maendeleo
Mnashangiliq mtu kupiga picha na ngozi nyeupe tena ulaya ambako hata ombaomba ni whites.
Hizi kweli akili za ufipa.

In God we Trust
 
Jaribu kuisumbua akili yako kwa kusoma magazeti na kutazama tv zenye weredi ndio uandike maneno yako ya shobo
Mnashangiliq mtu kupiga picha na ngozi nyeupe tena ulaya ambako hata ombaomba ni whites.
Hizi kweli akili za ufipa.

In God we Trust
 

Hahahaha
Zero brains huyo jamaa
Kuna mahali nafika nasema kweli acheni Mwenyezi Mungu aitwe Mungu Maana ni yeye anaye kupa mamlaka na ni yeye anaye kuvua mamlaka walahi in Goddess Isis voice


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili = akiri

Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Kwani kujua kiswahili kwa ufasaha ndio kuelimika???Kuna watu wanajua lugha lakini ni wajinga,mfano ni wewe ajuza!
 
Mkuu hongera sana kwa kujivua koti la unafiki
Mimi sikuwahi kuihujumu nchi yangu ila msiambiwe ukweli siwezi kuangalia Watanzania wenzangu wanapigwa risasi kisa ati CCM kwanza.

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…