Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa


Ok, binafsi nimekuelewa, Tubu kwa Mungu kwa kuwa uliacha kutetea matakwa ya wanachi badala yake ukatetea hoja dhaifu na za wanasiasa
 
Sikisii uandiwhi hata siku moja. 99% Nnakosoa "r" na "!" Kama za huyo poyoyo hapo juu.

Unafikiri huyo poyoyo atasahau tena akili na akiri? Thubutu.
Nnakosoa=Ninakosoa!!!
 
Sikisii uandiwhi hata siku moja. 99% Nnakosoa "r" na "!" Kama za huyo poyoyo hapo juu.

Unafikiri huyo poyoyo atasahau tena akili na akiri? Thubutu.
'Uandiwhi' ni nini?

Tuliza wenge we ajuza.
 
Akili = akiri

Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Wee Nae Jitu zima kazi kurekebisha Ujinga Ujinga
Hujawahi kukosea au?
 
Akili = akiri

Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.

Unasema intapretenyuaaa?Sadam wa Kuwait bwana
 
Kweli ajaiva bado kisiasa katika nafasi za juu pamoja na malezi yote aliyopewa.

Ukiwa waziri maamuzi ya serikari yakiangukia wizara yako unabanwa na dhana collective responsibility kama unaona kitu akikufai uwezi kuwa mjumbe wa kukitetea achia ngazi watu ndio wanavyofanya.

Na hata hao wanaojitumbua asilimia kubwa sana sana watasema hiyo sera awazani kama wao ni watu sahihi kuitekeleza lakini kwenda kuropoka adharani maamuzi ya serikari especially baada ya kutumbuliwa ni utoto au hasira ya kitumbua kuingua mchanga.

Sio kusema natetea uminywaji wa habari; hila watu hata pale wanapofanya makosa katika nafasi zao ukaa especially kama walikuwa sehemu ya serikari waliyoitumikia na bado ipo madarakani; wacha wengine wakosoe.
 
Bavicha hata tofauti kati ya "akiri" na " akili" hamfahamu halafu mnataka mtuongoze.
mbona kuna wengine wanatutawala/sio kutuongoza hata kutamka neno enterprenuership nusu wavunje mike?
 
Madaraka yanalevya, watajuta wengi, hasa watakatifu wa awamu ya tano.
 

Hoja dhaifu kabisa. Kwa kusema ukweli atakuwa huru. Fidel Casto aliwahi kusema "......... sitakumbatia upumbavu nilousema jana kwa sababu ya kuonyesha msimamo" Huo uamuzi ulikuwa wa kipumbavu, ukandamizaji wa uhuru wa watu na kusema kweli ni kinyume cha uzalaendo. Achana na Mhe. Nape, anakua hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…