Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kama mitandao haina taathira kwenye Siasa za Tanzania, mbona CCM hulazimisha mitandao ifungwe au ipoozeshwe Kasi yake wakati wa Uchaguzi?
Nape anadhani tumesahau jinsi kwenye uchaguzi wa 2020 tulivyolazimika kutumia VPN Ili kuwasiliana kupitia mitandao?
Sisi watanzania siyo wasahaulifu kiasi cha kusahau jinsi John Magufuli alivyosema hadharani kuwa anatamani Malaika washuke waje wafunge mitandao.
Halafu kwani hao walioko mitandaoni siyo binadamu wapiga kura bali maroboti?
Alifanya lini sensa ya kujua kama 60% ya wapinga Serikali mitandaoni kuwa wapo nje ya Tanzania?