Nape kutumbuliwa ni sawa, lkn kutelekezwa na dereva akiwa bado anatoa tuzo ukumbini siyo sawa

Kama unampenda Napelagwa nenda kanywe nae chai.
 

Laana ya kumtukana Magufuli itamwandama maisha yote
 
mbona ndio huwaga ndo utaratibu hata kama yupo mikumi anakuacha !!

sasa anakupakia kama nani
 
Huna akili.sometimes unajizalilisha sana
 
Madereva wa Viongozi Wana miongozo Yao ,, hivyo inafaa unapokosoa uwe na uelewa kuhusu hiyo miongozo na si kuja hapa kusema masuala utamaduni wetu.

Pia Kama Dereva alipigiwa simu afanye alivyofanya?
 
Mikeka ya utenguzi iwe inatolewa saa tisa za Usiku.
 
Nape hafai kuwa hata kiongozi wa kijiji kwa sababu anaropoka ovyo na anacho kisema huwa akijuwi mpaka akosolewe mitandaoni ndipo anapo omba msamaha .Nape hafai kabisa alivyo fanyiwa ni haki yake kwani anaropoka ovyo pasipo na kuchaguwa maneno ya kuzungumza Nape anamwaga mtama kwenye kuku wengi. Nape anachosema ni ukweli mtupu kuwa CCM wakati wa uchaguzi inatumia goli la mkono kushinda uchaguzi kuna halali nusu, haramu nusu na haramu kamili alisema ukweli kwa Wananchi lakini boss wake Mama Abdul amaechukizwa kwa kauli zake Nape ndipo alipo mtumbuwa Uwaziri.

KAULI YA WAZIRI NAPE ILIYOMPONZA HII HAPA |TUTASHINDA HATA KWA BAO LA MKONO​



View:
 
Mkuu wew unasema vitu usivovijua na kukurupuka mheshimiwa aliondoka na gari lile lile na dereva yule yule mara tu baada yakushukq jukwaani tatzo mnawasikiliza sana mambumbumbu wapotoshaji huko mara waseme ukumbi wa mcity n.k so msipende kuchukulia kila cha mtandaoni as it is ninyi ndo mnaoleta taharuki kwa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…