Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.
Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.
Hilo Gazette hata kuliangalia tu nachefuka
Mbona watanzania hamjitambui? Kazi ya gazeti siyo kumnadi mgombea wa chama flani tu ni kutupasha habari ambazo zote zinazoendelea Tanzania nzima bira kujari itikadi za kivyama.
Mbona watanzania hamjitambui? Kazi ya gazeti siyo kumnadi mgombea wa chama flani tu ni kutupasha habari ambazo zote zinazoendelea Tanzania nzima bira kujari itikadi za kivyama.
kwenye marketing wanasema kutajataja jina la competitor wako hata kama unampondea ni ushindi kwake, kwani unafanya wateja watake kumjua zaidi na kwa nini unampondea badala ya kutangaza bidhaa yako!
Hivyo ndivyo ilivyo.
Mbona watanzania hamjitambui? Kazi ya gazeti siyo kumnadi mgombea wa chama flani tu ni kutupasha habari ambazo zote zinazoendelea Tanzania nzima bira kujari itikadi za kivyama.
Hivyo ndivyo ilivyo.
Gazeti la kufungia maandazi...!!!
Tanzania Daima ni gazeti la namna gani? Embu tuambieUhuru ...gazeti la kikuda sana la kisiasa..!!
Ukisoma hilo gazeti kichwa chako kinakuwa almost equal to Nape...!!!
Si mmesikia Nape anahaha kumsafisha Magufuli kuwa hakusema atatoa laptops kwa walimu wote...imagine, CCM inaona watu wangese sana...!!!
Ukiwa na akili timamu huwezi kukaa CCM...Nape atakoma na mdomo wake...ashaona moto wa Lowassa, Ukawa...sasa CCM inakufa rasmi...!!!
Si walitukana watu makapi, oil chafu, sasa wasubirie nguvu ya umma...!!!
Nape kadhoofu sana jana kwa mtu anayemjua kawa mdogo mnooo...!!
Kati ya magazeti yenye kuandikwa na makanjanja nchini hili gazeti nadhani lipo ktk top 3...
No hard feelings...
Mbona watanzania hamjitambui? Kazi ya gazeti siyo kumnadi mgombea wa chama flani tu ni kutupasha habari ambazo zote zinazoendelea Tanzania nzima bira kujari itikadi za kivyama.