Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.

Naona kila posti unakimbilia tu baada ya hali ya kutisha kutokea huko Mbeya. Mtajibeba mtko nyie.
 
hili gazeti la uhuru linaacha kumuza magufuli linamshabikia lowasa .ccm kwishaaaaaaaaaaaasaa
 
sasa hiyo ya uhuru ni habri!!!
habari ingekuwa Maelfu wampokea Lowassa jijini mbeya wakati akisaka wadhamini.
tunalichukia coz linakuwa halina tofauti na magazeti ya udaku the same to TBC-CCM hawana jipya tido aliwasaidia kukitengeneza chombo hicho kiheshimike wakamwona hana mana
 
Kuna Wanachama Wa UKAWA, Wameomba Wenyewe Wabakie CCM Kimwili Ili Kukamilisha Kazi Ifikapo 25/10/2015.Hivyo Usishangae

Gazeti La Uhuru Wanajuwa Wanachokifanya.
 
Mbona watanzania hamjitambui? Kazi ya gazeti siyo kumnadi mgombea wa chama flani tu ni kutupasha habari ambazo zote zinazoendelea Tanzania nzima bira kujari itikadi za kivyama.

Pole kwa kutokujua.. Ila hilo gazeti ni kungwi la chama cha mapinduzi pamoja na redio uhuru... Wakiongozwa na bibi tbc
 
Mbona watanzania hamjitambui? Kazi ya gazeti siyo kumnadi mgombea wa chama flani tu ni kutupasha habari ambazo zote zinazoendelea Tanzania nzima bira kujari itikadi za kivyama.

Hiyo ni habari au taarabu,nani hamjui nape kwa taarabu zake kama hadija kopa,kama chama imeuzwa angeleta facts mpaka money transfer
 
kwenye marketing wanasema kutajataja jina la competitor wako hata kama unampondea ni ushindi kwake, kwani unafanya wateja watake kumjua zaidi na kwa nini unampondea badala ya kutangaza bidhaa yako!

100% Kwenye Marketing Strategies Ni Dhambi Kubwa Hiyo.Hata Siku Moja ITV Hawezi Mtaja Star TV Kwa Ubaya Hata Uzuri Wake. Kwa

Siasa Hii Ni Failure na Ni Politics Mis-Calculation (a Grave).
 
Mbona watanzania hamjitambui? Kazi ya gazeti siyo kumnadi mgombea wa chama flani tu ni kutupasha habari ambazo zote zinazoendelea Tanzania nzima bira kujari itikadi za kivyama.

kweli kabisa ila wamesahau kutupasha habari ya yaliyotokea mbeya jana
 
Nape kwa ujinga lilionao litajikita kupambana na UKAWA huku likisahau kufanya kampeni huko linakogombea ubunge na mwisho wa siku litaukosa huo ubunge wa kununua.
 
Uhuru ...gazeti la kikuda sana la kisiasa..!!

Ukisoma hilo gazeti kichwa chako kinakuwa almost equal to Nape...!!!

Si mmesikia Nape anahaha kumsafisha Magufuli kuwa hakusema atatoa laptops kwa walimu wote...imagine, CCM inaona watu wangese sana...!!!

Ukiwa na akili timamu huwezi kukaa CCM...Nape atakoma na mdomo wake...ashaona moto wa Lowassa, Ukawa...sasa CCM inakufa rasmi...!!!

Si walitukana watu makapi, oil chafu, sasa wasubirie nguvu ya umma...!!!

Nape kadhoofu sana jana kwa mtu anayemjua kawa mdogo mnooo...!!
Tanzania Daima ni gazeti la namna gani? Embu tuambie
 
Mbona watanzania hamjitambui? Kazi ya gazeti siyo kumnadi mgombea wa chama flani tu ni kutupasha habari ambazo zote zinazoendelea Tanzania nzima bira kujari itikadi za kivyama.

We ndo hujitambui
 
Back
Top Bottom