Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

Ukishapitia bendi za taarabu halafu ukawa gasho kinachofuata ni weredi wa kutunga uongo kama huu. Kama Lowassa alikinunua chama si ufurahi kwa vile kitakufa au wewe unaombea CHADEMA iendelee kuwepo?
 

Tusiipuuze hii kitu.....kwa hali ilivyoinawezekana pakawa na ukweli hapa
 
You are wasting your time. We are not fools.
 
Cdhani mtoa hoja kama huwa uajisafisha kabla hujatoka chooni
 
Mgonjwa CCM anarusha mateke sana wakati huu anataka kukata roho. Haina jinsi kwa hatua hii kifo ni lazim
 
Inawezekana ukawa una ukweli ndani yake lakini mbona tumesikia mambo haya haya kila leo na hamna uthibitisho?
Au we ni wa Lumumba?
 
Kama haya usemayo ni ya kweli kwa nini Lowassa alipita katika kila kamati kuu ya kila chama kiundacho UKAWA?
Alikuwa anaenda kufanya nini kipindi chote hicho?
 
Yaaaani kutokufikiri in hatari sana kabla hujaandika ungewaza kwanza uko na mawazo kama nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…