Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

Ukishapitia bendi za taarabu halafu ukawa gasho kinachofuata ni weredi wa kutunga uongo kama huu. Kama Lowassa alikinunua chama si ufurahi kwa vile kitakufa au wewe unaombea CHADEMA iendelee kuwepo?
 
LOWASA KWELI AMEINUNUA CHADEMA


Yadaiwa makubaliano yake na Mbowe ni kuwa wale wote ambao walishiriki kwa namna moja ama nyingine kumchafua wasishiriki kumnadi na hata kutokuongelea mchakato mzima wa urais


Yeye ndiye aliyemlazimisha Mbowe, Slaa akapumzike kijijini na pia Mbowe aweke masharti magumu ili yaimalize CUF bara ambapo Lipumba alivyoona hivo akaamua kunawa mikono yake kutojihusisha kabisa.


Inasemekana Salum Mwalim naibu katibu mkuu chadema Zanzibar ndiye anayekaimu ukatibu mkuu kwa sababu Lowasa ndiye aliyemuingiza hapo kwenye hiyo nafasi halafu ni mfanyakazi wa Channel 10 mpaka sasa ambapo Lowasa na Rostam wanajitahidi kukitumia ktka shughuli zao.


Mzee Lowasa ameandaa mkakati wa kuhakikisha Lissu, Msigwa, Lema na Mnyika hawarudi bungeni na ni masharti aliyopewa Mbowe akakubali.


Wakati ukishangaa CCM wanalalamikiwa kuminya demokrasia kwa ukawa waliibaka mbaya mno kwani Slaa hata fomu hakujaza ili ashindwe kwa kujadiliwa kuwa hana vigezo au wagombea wa Chadema, CUF, NCCR na NLD wapigiwe kura ili apatikabe mwakilishi badala yake Mbowe akawaruhusu wakutane na wateue jina moja.


Awali wakati wanakutana Dkt. Slaa, Prof. Lipumba, Emanuel Makaidi, na James Mbatia katika vikao vyao walikubaliana Slaa ndiye mgombea wa Ukawa badae mambo yakawa tofauti kabisa.


Mbowe na Maalim Seif nyuma ya pazia washamalizana na Mzee Lowasa kuwa ndiye atakuwa mgombea. Baadae Mbowe akawaambia wenzie wasimtangaze kwanza mgombea wao!


Siasa ni utumishi CCM. Ukawa siasa ni ujasiriamali. Zaidi ya bilioni 10 zadaiwa kuwa chanzo cha hayo yote.


WATANZANIA TUWE MAKINI KUTAFAKARI HAYA, TUSIKUBALI KIRAHISI RAHISI HIVO.

Tusiipuuze hii kitu.....kwa hali ilivyoinawezekana pakawa na ukweli hapa
 
Cdhani mtoa hoja kama huwa uajisafisha kabla hujatoka chooni
 
Mgonjwa CCM anarusha mateke sana wakati huu anataka kukata roho. Haina jinsi kwa hatua hii kifo ni lazim
 
Inawezekana ukawa una ukweli ndani yake lakini mbona tumesikia mambo haya haya kila leo na hamna uthibitisho?
Au we ni wa Lumumba?
 
Kama haya usemayo ni ya kweli kwa nini Lowassa alipita katika kila kamati kuu ya kila chama kiundacho UKAWA?
Alikuwa anaenda kufanya nini kipindi chote hicho?
 
Yaaaani kutokufikiri in hatari sana kabla hujaandika ungewaza kwanza uko na mawazo kama nyumbu
 
Back
Top Bottom